mtu

  1. JamiiForums Tanzania Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  2. JamiiForums Tanzania Oya huu Utani wenu wa kutuita Simba SC Wagawa Utamu uishie humu humu Mitandaoni, ila Mtu akiniita live Mtoa Utamu hakyanani Nakata Nafunua na Ndoo Juu

    Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
  3. JamiiForums Tanzania Kama mtu akiwa na tatizo la akili katiba inasemaje.

    Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, suala la Rais ambaye ana tatizo la akili linagusiwa chini ya Ibara ya 43. Ibara hii inashughulikia kuhusu uteuzi wa Rais, madaraka yake, na pia inasema jinsi ambavyo endapo Rais atakuwa na hali ya kutoweza kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Sijalipwa na mtu yoyote kuchafua taswira ya nchi yoyote

    Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na ushahidi uliomo kwenye makala kujibiwa au kukanushwa, amekuwa akishambuliwa binafsi. Aidha, ameweka...
  5. JamiiForums Tanzania Nashangazwa na mtu anaesema siasa hazimuhusu!

    Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati. Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa tano unalegezewa kidogo na kuchanganywa akili kwa vitu vya kijinga unasahau mateso alafu baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Migahawa midogo ya Tanzania kuna shida, mtu unalazimishwa kutumia kitu usichokitaka

    Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi. Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
  7. JamiiForums Tanzania Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

    Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
  8. JamiiForums Tanzania Taaluma za Afya zinazomuwezesha mtu kujiajiri mwenyewe, bila kusubiri kuajiriwa

    Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara). 📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI 1. Pharmacist (Mfamasia) Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu hapaswi kusamehewa kabisa

    Kila nikizingalia hizi picha za mauaji na majeruhi roho inakufa ganzi. Huyu mtu ni katiri sana, hafai kabisa. Picha zinaumiza mno. Halafu anakuambia hajali chochote, nguvu iliyotumika ni sahihi, seriously? Huyu ni mtu au shetani? Watanzania tusimsamehe huyu mtu pamoja na wote wanaomtetea...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kusomea degree ya Biashara vyuo vya Tanzania na Ulaya kwa mtu ambaye hana msingi wa biashara?

    Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz. Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini. kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini

    Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

    Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mzee unapokwenda kumsikiliza mtu aliyedhulumu uchaguzi, je ni haki?

    Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki? Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa lakini serikali haichukui hatua yoyote? Hawajui kama watu waliuwawa siku ya maandamano? Kama...
  15. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana

    Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
  16. JamiiForums Tanzania Dalili saba kwamba wewe ni mtu wa hadhi ya juu/Mtu wa thamani

    1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea. 4. Unatambua kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje taarifa za mtu kufutwa kwenye mfumo wa sipa wa HESLB

    Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi. Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto za kipato ikafanye afute usajili (diregistration). Sasa akaomba chuo mwaka huu akapata lakn kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  19. JamiiForums Tanzania Usimcheke mtu tulikuwa tunamcheka ayatollah kuishi kwenye mashimo leo hii na huyu wa kwetu yuko mafichoni kama panya

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje Huyu wa kwetu anaishi mashimoni kama panya na maadui zake ni WA ndani Kwa taarifa zilizopo sasa wamemkalibia...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…