mtu

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Pro max wengi wanajadili personality ya mtu badala ya issues.

    Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika. Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI. Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

    Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!) mi sikuwahi kumuona lakini...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

    Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

    Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe . Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri . Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  9. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi huwa yanahitaji nini? Mtu atulie au mapenzi India bongo biashara

    Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa. Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mohamed Kibao: Hakuna mtu anayestahili kuuawa kinyama kiasi kile

    Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani hakuna anayestahili kupitia aliyo yapitia yeye. Amesema Mohamed Ali Kibao
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania 'Sheikh ubwabwa' ni mtu wa aina gani?

    Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anaweza kuua watu wote hao na hakuna lolote la kumkuta basi kila mtu ajipambanie

    Inasikitisha sana kuona muuaji bado anadunda tu na afya na kiburi juu. Mtu ametengeneza maadui zaidi ya 60 million, wanaomuombea kifo kila siku. Mtu ameteka na kuwapoteza watu wa rika zote waziwazi bila kificho. Na mtu huyo hatuna la kumfanya hata kwa umoja wetu na hasira zetu, Na Mungu...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  15. Foffana

    JamiiForums Tanzania Usimueleze mtu mipango yako na mafanikio yako

    Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Harmonize inakuwaje kusema wasanii tumewakosea wakati una album ya mtu aliyetukosea kabisa

    Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine. We si ndo ulikuwa...
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania LOGIC : Hakuna mtu yeyote aliyepeleka barua polisi ya kuwajulisha kuwa wataandamana tarehe 9 Dec

    Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno. Taarifa za mitandaoni haziwezi kuwa official, kama kuna viongozi fulani walikataa wito wa polisi kwa kudai hawajaitwa...
Back
Top Bottom