Anaitwa Anne Jones.
Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu.
Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani...