mtu

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  2. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  3. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma Nature na Diamond nani zaidi?

    wakuu kwema? Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma nature na Diamond nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka nikataka kumzaba makofi. ebu tumsaidieni nani mkali kati ya hio miamba miwili hapo juu,then nitampa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kumdhamini mtu asiyekuwa ndugu yangu

    Wanajamvi habari za leo. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kwa kuwapa kwa ufupi tukio lililosababisha nilete huu uzi . Kuna rafiki yangu ni Mchungaji wa kanisa moja hivi la kipentekoste huku tunapoishi. Kwa vile kanisa lake bado ni changa hivyo sadaka hazikidhi mahitaji ya familia...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

    1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. .. 2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili 3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kumpeleka mtu kwenye wodi ya vichaa

    Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili. Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine) Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi. Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira? Labda niunganishe na wale...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  11. nyboma

    JamiiForums Tanzania Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

    Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu. Wakati nazunguka nilifika katika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuwa baba. Ni raha iliyoje na mimi kuwa baba wa mtu

    Mwezi December 2021 nilileta hii mada hapa kwamba natarajia kua baba, na kweli ndani ya mwezi January 2022 nikapata nafasi ya kua baba Kweli. https://www.jamiiforums.com/threads/baba-mtarajiwa-nini-natakiwa-kufanya.1943235/page-3 Girl friend wangu alijifungua salama Salmin mtoto imara wa kiume...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  17. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ilikuweje KGB wameshidwa kumpandikiza mtu wao akaiongoza Ukraine

    Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  19. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wachangiaji damu, kupewa kipaumbele wanapohitaji damu hospitalini. Watapewa kadi Maalum

    Hivi huyu mtu anafahamu hata Medical Ethics? Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience. Hakuna priority kwenye afya who deserve the resources than another. It’s either first come first served or who needs it the most based on...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania FUNDISHO: Kila mtu ana mbabe wake

    asili yake ni ubabe
Back
Top Bottom