Ukiona mtu damu yako na yake haziendani yani hakukubali kaa naye mbali jiepushe naye kabisa kaa naye mbali.
Kama unanamba yake ifupe upesi usiangalie status zake wala wewe asiangalie status zako.
Haijalishi ni shangazi mjomba rafiki nk kwa kuwa tu damu zenu haziivi jiepushe naye
Kitu mapenzi haina formula;
Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani!
Fanya mapenzi yako kwa style yako!
Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu!
Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio.
Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya...
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa masoko na kutunga story hazina kichwa why for 6 years back huu ujinga haukuwepo.
Mbona pale Kisutu...
Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025.
Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
arusha
dar
dodoma
flash
kinyume
kinyume na maumbile
kuoa
kuwa makini
maumbile
mke
mke wa mtu
mpenzi
mtandao
mtu
nyuma
redio
singida
tanga
usaliti
wadada
wanawake
zanzibar
Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na...
Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
Mtu...
Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
=========================
20/08/2026...
Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂
Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani...
Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu.
Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho yenu unamshauri mtu tokaa hapo ila wapi kuna kitu tu hakuelezi. Vitu vyenyewe ndio kama hivyo jamani...
Ikoje hii kiafya? Kwanza una harufu kali sana..ni kujiongeza baada ya gharama za gesi kupanda au tuiteje?
Ningependa kujua kama ni sawa au sio sahihi kwa matumizi ya nyumbani.
Kama mtu.anaweza.kudeliver kwanini asiteuliwe?
Umri ni namba tu
Vijana akina Sabaya, Nassari, Makonda, Silinde, Kigwangalla, Waitara, Katambi nk.... nk wamewahi kufanya maajabu gani?
Hapa Jf hata Pascal Mayalla akipata teuzi.mtadai ni mzee wakati anatema madini kuliko Bavicha Wote wa hapa...
Habari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
Wakuu hapa niko hospital
Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa.
Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was...
Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA.
Busara za...
Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.