mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  3. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mtu anahitaji mchango wake kutambuliwa

    Habar Wana JF, Nimevutwa kuandika Uzi huu baada ya Leo asubuhi kumuaga dada wa kazi ambaye alikuwa hodari Sana katika kuwahudumia watoto wangu,kipindi chote tulicho ishi nae akifanya kazi vizur Sana na Kwa mapenzi makubwa,tunajisikia fahari juu yake. Kabla ya kuondoka nilimshukur Sana Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, Premio tamu

    Habari wakuu! Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M. Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  8. JamiiForums Tanzania Si sawa kumpongeza Mtu kwa uzuri alionao, hana mchango wowote kwa yeye kuwa hivyo

    Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa mwili (body building). Hivi kwa akili zetu hizi huyo tunayempongeza ana mchango gani kumfanya yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu. Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kweli ITV imebadilika, inaonekana Regina Mengi hataki ugomvi na mtu

    Muda mrefu nilikuwa sijaangalia TV, ila wiki hii nimeanza kuangalia, imecheki ITV siku kadhaa na hivi sasa naangalia mjadala wa bajeti. Nilichogundua kuna mabadiliko makubwa sana kwa ITV ya sasa na ya miaka ile, yaani hata hawa wachambuzi wanaoitwa kuja kuchambua bajeti wote ni kumsifu tu...
  13. JamiiForums Tanzania Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

    Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
  14. JamiiForums Tanzania Ukiona Mtu anatolea Ufafanuzi 'Dhambi' fulani iliyotendwa nao huku kavalia Miwani 'myeusi' jua ni 'Muongo' sana

    Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia. Basi bwana .... Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni Mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema Arusha. Arusha pia nimeishi ila...
  16. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani Wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania, ==== HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Babu Tale bungeni, ninakiri kuna ulazima wa marekebisho ya Katiba kwa sifa za mtu kuwa Mbunge

    Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo ni kwaajili ya mtu ninayempenda hapa tafadhali pokea

    Kwako mpenzi, Najua unatembelea jamii forum mara kwa mara, Nimekutafuta sana ila sina uwezo wa kukupata ulipo ili niuwakilishe huu wimbo live kwako. Mimi kwangu nimeona hapa ndio mahali sahihi pakuweza kufikisha ujumbe wangu kwako kwa gharama ndogo. Ahsante Jina la wimbo: I called you so many...
  20. JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…