mtu

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  2. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

    Habari za humu ndani? Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani) Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
  7. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Mapenzi si ndoa, mkitofautiana kila mtu a-move on

    Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mtu wa movies halafu haujaiona Casablanca?

    Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva. Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist na haujawahi kusikia habari za dinosaur.
  9. Heci

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mtu anayejitambua na asiyejitambua

    MTU ANAYEJITAMBUA NA ASIYEJITAMBUA. Leo jijue upo katika kundi Gani. 1. MTU anayejitambua hawezi kuwa mtu wa dini ila anakua mtu anayeamini katika Mungu, kwakua dini Kwa mwafrika zilitungwa na mkoloni KUMTAWALA muafrka. Pia anayejitambua hufahamu mababu walitumia Imani vizuri na walisikilizwa...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtu msomi ni nani?

    Msomi ni nani? Katika kusoma makala mbalimbali pamoja na kufanya tafiti binafsi, kumeonekana kuna changamoto katika kusema fulani ni msomi. Wapo wanaoamini, katika kufikia hatua fulani ya elimu anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi. Wengine wanaamini msomi, ni yule anayetumia rasilimali vitu...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Siri za utajiri ambazo hamna mtu anayeweza kukwambia

    Huu ujumbe ni special kwa ndugu Deborah9007 , maana nilikuwa kwenye mfungo, na Mungu akaniambia niongee na wana JamiiForums juu ya jambo hili. Ili uwe tajiri na udumu katika utajiri wako, eidha wa nuruni au wa gizani ni lazima uwe na vitu viwili vikubwa. 1. MADHABAHU 2. AGANO. Madhabahu ni...
  13. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

    Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga. Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  17. fiksiman

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

    Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya kule kuna nani (Tanga), kama mnavyojua kwa wale wenzangu wasafiri wa mara kwa mara ukifika eneo fulani na kupiga kambi hamu ya kupata wenyeji inakuwa kubwa. Sasa kwa jiji hili ndo burudani zaidi...basi mie shida yangu kubwa ilikuwa kupata mtoto mmoja wa kimanga...
  18. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu kumbe ni mfupi

    Lakini mmmmhMadem huwa hatupendi short
  19. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

    Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu. Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka. 1...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

Back
Top Bottom