mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa dada kawe kapita ama kichujiooo kimempitiaaa

    Sijaangalia list ya kawe Kwa anaejua jamani mtoto wa dadaa kapita ama msibaa umemuangukiaaa?? Kama kachinjwaaaa naagiza keki kwa ajili ya wajumbee Oyeeee
  2. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  3. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Ndugu zangu . Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN" naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

    Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

    Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume. Kwa imani, nilianza...
  7. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  10. walitola

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwenzio ni wa mwenzio tu, ukimlea usitegemee kurudishiwa fadhila

    Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza kutangaza ubaya kua alikua anateswa. Mnakua kwenye familia, ni wengi, wazazi hawachagui na pengine...
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

    Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  15. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  16. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

    Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji. watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Taifa linaloendeshwa kwa ujana wa bandiko na umbea—tumwangalie mtoto wa 2050

    Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  20. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

    "Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
Back
Top Bottom