mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. David Harvey

    Kitaalamu ipo vipi? Mtoto wa mwaka 1 kuwa na meno 16

    Ana mwaka 1 na mwezi 1 ana meno 16!! Je hii ni kawaida ?
  2. M

    Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  3. L

    Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  4. B

    Watu wa Mwanza Bana: Kumbe Hamisa Mobetto ni mtoto wa Mwanza halafu hamsemi mmekaa kimya?

    Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto? Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii...
  5. M

    Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  6. Echolima1

    Njama za kumuua mtoto wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu zagunduliwa

    Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa Israeli. Kamati ya mawaziri ya Israeli kuhusu masuala ya Shin Bet imeidhinisha ulinzi ulioongezwa kwa...
  7. realMamy

    Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  8. A

    KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  9. venchwa

    Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  10. Kizibo

    Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  11. Mad Max

    Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  12. Masweeter

    Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  13. Sifi Leo

    Taja mtoto wa waziri, au Rais au MBUNGE aliywai kuwa na akili kama Maria Sarungi,huyu hapa kamtaja Makongoro Nyerere Wa NCCR mageuzi, Sasa yu wapi?

    Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi, Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro? Haya na wewe uliye...
  14. sonofobia

    Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  15. K

    KAMA UNALEA MTOTO WA KIUME WA SINGLE MAZA ANZA KUJIKOKI

    Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake...
  16. ndege JOHN

    Ubaya wa kuwa baba wa kambo ni kwamba kila ukimtazama mtoto wa mwenyewe ndani kwenu unaanza kukumbuka bao la mwanaume mwenzako

    Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia: "Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
  17. lumumbanew

    Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

    Habarini wajuvi. Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5. Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe. Natanguliza shukurani.
  18. C

    Ulipata Mtoto wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ? Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ? Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ? ( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )
  19. Mto wa mbu

    Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

    Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa...
  20. Nelson Kileo

    HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
Back
Top Bottom