mshahara

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwajiri Mwenye Mshahara wa Mauti ni Yupi

    Mwajiri Mwenye Mshahara wa Mauti ni Yupi Mwajiri mwenye mshahara wa mauti ni yupi Hebu tafakari kuwa umeajiriwa, halafu aliyekuajiri anakutumikisha kwa mateso makali, na mwisho wa siku anakulipa mshahara wa kifo. Je, kabla ya kuanza hiyo kazi, utakubali kusaini mkataba wa kazi? Bila shaka mtu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa mshahara mpya wa TZS 500 000 kwa mtumishi mwenye mke na mtoto mchanga/toddler

    Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni sawa na TZS 130 000 hadi kufikia TZS 500 000 kutoka TZS 370 000 ya kwamba bado itakuwa sio rahisi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamshukuru Rais Samia kwa kupandisha mshahara 'tataenda kufanya kazi kwa bidii'

    Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi wa Tanzania anatakiwa kabisa kufurahia kwa Mshahara wake kupandishwa kutoka Shilingi 370,000 hadi Shilingi 500,000?

    Kwa Ukokotoaji wangu wa huo Mshahara mpya wa Shilingi 500,000 na kwa hali ya sasa ya Kimaisha nimejikuta nikiutumia Kikamilifu kama ambavyo Roho Mtakatifu anataka, Katiba ya Tanzania inavyotaka, Mke na Mahawara wanavyotaka wote utaisha ndani ya Siku Saba tu za mwanzo na kwa Siku zote ama 21 au...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  10. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ikikupendeza wajazeni watumishi wa umma mshahara kesho kwa ajili ya Pasaka

    Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
  13. JamiiForums Tanzania Mshahara ushatoka uko mitano tena

    Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Unapanga Bajeti ya Hela Yako ya Mshahara au Unatumia Tu na Kesho Itajijua Yenyewe?

    Kupanga bajeti ya matumizi ya fedha unazopata inaweza kuwa msamiati kwa baadhi ya vijana na watu wazima wanafanya harakati za maisha mijini na vijijini, hasa wale wanaotegemea malipo ya mshahara ua vibarua. Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kiuchumi, swali hili linazidi kuwa la...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi, mshahara Laki 1 na 80. DSM

    Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…