Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna.
Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki.
Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu.
Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo.
Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.
Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4.
Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu.
Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.
Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea
Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)
Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini)
Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado.
Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku
Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi
Sijui wewe
Wakuu,
Hivi hii imekaaje?
Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini.
Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.