mshahara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora kumlipa muuzaji kamisheni au mshahara ?

    Mfano kwa kila simu anayouza achukue elf 20 au Alipwe mshahara + hela ya kila siku inayofikia laki 2 kwa mwezi ?
  2. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi uliopita umeshatoka?

    Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna. Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki. Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo wakikosa mshahara kwa miezi 2 tu watumishi wake watakuwa ombaomba

    Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija. Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  8. JamiiForums Tanzania Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  10. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

    Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea. Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa) Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini) Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Habar zenu naomba kuuliza mshahara wa credit Officer Wezesha microfinance Ltd
  12. JamiiForums Tanzania Kuna nini mshahara wa mwezi AUGUST?

    Watu kibao hawajapata mshahara wa mwezi AUGUST shida Nini? Kesho tarehe 25 na mmewazoesha watu tarehe 23 kulikoni?
  13. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

    Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado. Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ya marafiki kukutafuta tarehe ya mshahara

    Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
  15. JamiiForums Tanzania Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu August umetoka?

    Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
  16. JamiiForums Tanzania Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  17. JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

    Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi Utachagua kipi mdau?
  19. JamiiForums Tanzania Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku

    Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi Sijui wewe
  20. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…