mshahara

  1. JamiiForums Tanzania Tumaini Nyamhoka (Rais TUCTA) wafanyakazi wa wapi walikutuma ukaseme hawataki nyongeza ya mshahara mwaka huu?

    Akihutubia wafanyakazi waliojitokeza kwenye kilele cha sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) Rais Samia amesema mwaka huu TUCTA hawakwenda na madai ya mshahara mpya na viongozi wao walimwambia Rais "mwaka Jana ulikuwa na kazi nzito ya uchaguzi na pia miundombinu imeharibiwa na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini ulipogundua mshahara hautoshi tena kukidhi mahitaji yako?

    Najua wengi ni wahanga. Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka. Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka unajikuta ulichopokea lazima kiende kwenye. 1. CHAKULA hapa ni zaidi ya nusu ya mshahara ulionao...
  3. JamiiForums Tanzania Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

    Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili Miaka 25 Elimu shahada Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha??? Ahsante
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP – Geita hatujalipwa mshahara toka Januari 2026

    Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha. ICAP ni International Center for AIDS Care and Treatment Programs kwa Geita na Mwanza ila kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa UDART utulipe Wafanyakazi ‘Overtime’ zetu, pia tunahitaji nyongeza ya mshahara, hali yetu ni mbaya

    Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara." Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Customer service Agent-Swissport tanzania

    Nani anajua range ya Mshahara kwa kampuni tajwa ....Kwa nafasi hyo..wenye uzoefu..?
  7. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ni kumiliki Ford Ranger au Toyota ila kupitia kuajiriwa nishakata tamaa haiwezi tokea

    Kupitia kuajiriwa nimeshakata tamaa kumiliki gari la ndoto yangu kama Ford Ranger au Toyota Hilux, au hata zote kwa pamoja. Kwa mshahara ninaoupata, ndoto hiyo kwa kweli inaonekana haiwezekani kutimia. Sijui nifanye nini. Hata kupitia madokezo, extra duty au per diem, bado naona haiwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Mshahara unaweza kujenga utajiri!

    JE,INAWEZEKANA KUJENGA UTAJIRI WA VIZAZI KWA MSHAHARA WA SERIKALI?. Ndiyo! Inawezekana kabisa. Hapa, tunaamini kujenga utajiri hakutegemei pekee ukubwa wa mshahara unaoingiza mwisho wa mwezi,bali nidhamu yako ya kifedha, mipango ya muda mrefu na mkakati thabiti wa kuwekeza. Hebu tuangalie...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Habarini wanajukwaa? Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali haijaongeza scale za mshahara kama kima cha chini ni 500k . Kwanini shahada asianze na mshahara wa 1M angalau maisha yamepanda.

    Tupunguze mabajeti ya v8 huko na vitu vya hovyo. Degree mwalimu aanze na 700k mwaka 2016 hadi leo anaanza na 700k ????
  11. JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Malipo ya mshahara wa madereva yamechelewa kutokana na hitilafu za kiufundi katika mifumo ya ulipaji wa fedha

    TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na madereva...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dereva wa Mbunge usipitie kwa Wabunge, baadhi wanawanyonya, hawawalipi inavyotakiwa

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge. Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva. Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
  13. JamiiForums Tanzania Nifahamisheni utaratibu wa kukokotoa mshahara wa mfanyakazi kwa siku

    Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Makato kwenye mshahara wangu

    Habari wakuu. Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote. Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwongozo Mpya: Kima cha Chini cha Mshahara Sekta Binafsi (Januari 2026)

    Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri kufahamu viwango hivi ili kuhakikisha haki na wajibu vinatekelezwa kwa mujibu wa sheria. Hapa kuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  17. JamiiForums Tanzania Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

    Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi. Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Mshahara wa umwagaji damu

    Hesabu 35:33. "Hivi hamtaitia najisi nchi ambayo mnakaa;kwakuwa damu huitia nchi unajisi;wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi;kwa ajili ya damu iliyomwagika ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo aliyemwaga"...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…