mshahara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

    Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

    Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32. Kwa kikokotoo hiki kipya 1 atalipwa keshi tshs ngapi? 2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani Naomba kwa anaejua anisaidie
  3. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu, niwekee bajeti safi ya mwezi ilii niishi bila mikopo umiza

    Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana. Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free. Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
  4. Championship

    JamiiForums Tanzania Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

    Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Ananitafuta tarehe za mshahara tu

    Wakuu, mmoja wa wapenzi wangu hunitafuta anpoona mshahara umekaribia. Yaani kuanzia tarehe 20 anakesha na mimi mpaka tarehe 26 nikipokea tu mshahara anapotea. Haombi pesa lakini binafsi huwa nampa 50,000 asubuhi akiondoka ndio hutasikia kapiga simu wala kutuma sms ila ikifika tarehe tajwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu mshahara wa PUTs

    Habari za leo wana bodi. Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi. Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje?

    Wale waliokopa kupitia mshahara siku ya kwanza ulivoanza kukatwa marejesho kwenye mshahara wako ulijiskiaje...funguka
  13. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mpaka leo mshahara wa novemba haujaingia?

    Tuliopo TRA mpaka sasa mshahara haujaingia? Kuna tatizo gani huko Hazina
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

    Hello, Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo. Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

    Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwezi wa tisa na mwezi wa 10 haujaingia kwa baadhi ya Waajiriwa wapya, huko Karatu-Arusha

    Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi. Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu. Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
  19. Candela

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa IT hapa bongo

    Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania ( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

    Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
Back
Top Bottom