msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

    Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!! Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mama Mjane aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kununua mihogo ya wizi ya shilingi elfu kumi .

    Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana langua mihogo na kuuza ili alee watoto wake maan hata mtoto mkubwa alitokea jirani mwema akamchukua...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kusafirisha vifurushi kutoka China

    Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo. Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mahojiano kati ya Jaji Sinde Warioba na Jenerali Ulimwengu atuwekee hapa please

    Mwenye fill interview atuwekee hapa please
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhisu shule ua HIV and AIDS

    Habari wakuu. Poleni kwa kuwashtua. Poleni kwa Kuwapa tension. Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita. UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI ...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro, Wilaya ya Kilombero, Tarafa ya Mang'ula Wananchi waomba msaada kuhusu tatizo la Tembo

    MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari juu ya tumbo langu

    Nasikia maumivu kama yale ya kukata upande wa kulia wa wa juu karibia na mbavu Najisikia tumbo kufura Nikila kidogo najisikia tumbo kujaa Choo napata vizuri Inaweza kuwa shida gani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo Interns BMH Yamekwama. Tunahitaji Msaada!

    Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini. Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibarua

    NAOMBA MSAADA WA KUPATA KAZI/KIBARUA Habari wana Jamiiforums. Naomba kutumia nafasi hii kuomba msaada wa kupata kazi au kibarua chochote halali. Kwa sasa natafuta fursa ya kufanya kazi na niko tayari kufanya kazi kwa bidii kulingana na nafasi itakayopatikana. Nina elimu ya Kidato cha Sita na...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  11. JamiiForums Tanzania Israel iko tayari kuishambulia Iran kivyake bila msaada wa yeyote!!!

    Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran. Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kazi za security

    Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD. Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
  13. JamiiForums Tanzania Wana Dawati Msaada

    Naomba kujua huu ni ugonjwa au la na je dawa yake ni nini
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa kiutumishi tafadhali

    Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development. Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali kubadilishiwa muundo kwenda maendeleo ya jamii. Kama inafaa naomba kujua fursa zilizopo huko kwenye maendeleo...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  16. JamiiForums Tanzania G . Pop kutoka planet 2000 ANAHITA msaada

    FAMILIA YA MUZIKI TUUNGANE : MSANII G . POP WA CREW YA PLANET 2000 ANAHITAJI MSAADA WETU Habari za wakati huu Ndugu, jamaa na Marafiki pia kwa heshima na taadhima kwa niaba ya Familia ya Ndugu JAMES KADUMA, napenda kuwataarifu kuwa Mwana Iringa mwenzetu JAMES KADUMA (G. POP) kutoka kundi la...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani

    Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani hususani Tan choice au Union meat Group, je kwa namna ya upimaji wa mbuzi au kondoo Kwa kilo ipo faida yoyote?? Nauliza hivi kwasababu ni nyama pekee ndiyo inayopimwa,bei Kwa Kilo ni sh ngapi? Ngozi,vichwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Shikamoon wakubwa zangu. Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana. Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000 Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…