Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!
Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone...
Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana langua mihogo na kuuza ili alee watoto wake maan hata mtoto mkubwa alitokea jirani mwema akamchukua...
Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo.
Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
Habari wakuu.
Poleni kwa kuwashtua.
Poleni kwa Kuwapa tension.
Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita.
UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI ...
MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO
Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
Nasikia maumivu kama yale ya kukata upande wa kulia wa wa juu karibia na mbavu
Najisikia tumbo kufura
Nikila kidogo najisikia tumbo kujaa
Choo napata vizuri
Inaweza kuwa shida gani?
Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini.
Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
NAOMBA MSAADA WA KUPATA KAZI/KIBARUA
Habari wana Jamiiforums.
Naomba kutumia nafasi hii kuomba msaada wa kupata kazi au kibarua chochote halali. Kwa sasa natafuta fursa ya kufanya kazi na niko tayari kufanya kazi kwa bidii kulingana na nafasi itakayopatikana.
Nina elimu ya Kidato cha Sita na...
Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani.
Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran
Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran.
Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD.
Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia...
Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development.
Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali kubadilishiwa muundo kwenda maendeleo ya jamii. Kama inafaa naomba kujua fursa zilizopo huko kwenye maendeleo...
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
FAMILIA YA MUZIKI TUUNGANE : MSANII G . POP WA CREW YA PLANET 2000 ANAHITAJI MSAADA WETU
Habari za wakati huu Ndugu, jamaa na Marafiki pia kwa heshima na taadhima kwa niaba ya Familia ya Ndugu JAMES KADUMA, napenda kuwataarifu kuwa Mwana Iringa mwenzetu JAMES KADUMA (G. POP) kutoka kundi la...
Wakuu salama,
Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
Wakuu salama,
Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani hususani Tan choice au Union meat Group, je kwa namna ya upimaji wa mbuzi au kondoo Kwa kilo ipo faida yoyote??
Nauliza hivi kwasababu ni nyama pekee ndiyo inayopimwa,bei Kwa Kilo ni sh ngapi? Ngozi,vichwa na...
Shikamoon wakubwa zangu.
Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.
Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.