Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo.
Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok.
Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo.
1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...
Kama kichwa kinavyoonyesha hapo hii ni baada ya new updates kuwa sumbufu pia kama kuna app nyingine bora zaidi wasilisha ...weekend bila muvi ni michosho
Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira.
Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha...
“TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓
Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo.
UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽
Tunaiomba UDSM:
• Itoe...
Hii video nimeona ikisambaa sana waungwana mwenye uwezekano wa kumsaidia huyu binti kuhusu tatizo la mwanae afanye jambo kwaajili yake
Mawasiliano yake haya 0722317449 KURUTHUMU ELIZABETH
Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza...
Mim nipo Banana ,hapa Dar
Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .
Mwenye wazo naomba
WAKUU NAOMBA MNISIKILIZE KIDOGO 🙏
Sijui hata nianzie wapi kusema, lakini nimeamua kuandika hapa kwa sababu kwa sasa nimefika sehemu ambayo nahitaji msaada wa mtu mwenye moyo wa kusaidia.
Kwa siku hizi nimekuwa napitia hali ngumu sana. Mawazo yamekuwa mengi, mambo yamekwama na kwa sasa sina...
Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar.
Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi.
Mahitaji yangu:
Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights.
Njia gani ni...
Habari ndugu zangu!
Nahitaji kazi. Mimi nimesomea hotel katika kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji, nipo Zanzibar.
Yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi, Mawasiliano yangu ni 0724881371 au ani-PM nitasoma ujumbe wa inbox na kuufanyia kazi haraka.
Asante.
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.
Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini
Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki.
Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.