msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha

    Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada. Wengine wana...
  3. JamiiForums Tanzania Namkamataje dereva wa lorry la Mohammed Enterprises TanzaniaLimited (METL)aliefanya wizi kukimbia? Msaada

    Je niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
  4. JamiiForums Tanzania Msaada; biashara ya kuchaji simu

    Wakuu naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya kuchaji simu mtaji, faida, hasara
  5. JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa process ya kusajili brand Tanzania

    Wanabodi bila shaka mmamka salama na kuanza week hii mpya. Dua ziwaendee wale wenye changamoto. Niruke kwenye mada moja kwa moja. Nataka kujua utaratibu wa kusajili brand na kupata hakimiliki (copyright) hapa Tanzania. Mchakato unaanzaje, na ni vitu gani vinavyohitajika? Nataka ins and out...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

    Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
  10. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Wakuu habari zenu. Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo, Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana. Au vipimo vinaweza kusema uongo? Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

    Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine. Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka. Nyege...
  12. JamiiForums Tanzania As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla. Msaada wakuu

    Nahisi hamjambo Shidayangu nataka mniambie nifanyeje ili tatizolangu liishe kabisa nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla.nikila tu kama dakika tano maumivu yote yanapotea kabisa nakuwa na furaha Hii hali imenifanya niwe nakula sana nimekuwa mnene wakati mwili wangu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Habari! Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp...
  15. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kuunganishwa na Kampuni yoyote ya Uchapishaji wa Vitabu

    Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno! Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo. Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya kwa tatizo hili la kibenki!!

    Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi. Nilipowafuata...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Ndugu wana jamvi wakati ule wa miaka ya 1996 mpaka 2000, enzi zile tunasikiliza nyimbo zikiwa kwenye kanda, pale nyumbani mzee alikuwa na kanda moja ya tot ya mh Komba na wenzie, japo nilikuwa mdogo sana ila nilikuwa nakichwa cha kukariri baadhi ya nyimbo kama vile, muongo mbea anaua, na...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Latra hawana msaada ?

    Watu wanajiamulia bei tuu? Hawana namba ya kuripoti daladala?
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hili tatizo la mtandao hapa NSSF Ilala Boma ninaloambiwa lipo kwa zaidi ya wiki mbili sasa, ni kweli?

    Ninasubiri mafao yangu kwa mwezi mmoja na wiki mbili hadi leo bila kuyapokea. Tarehe 5 Agosti 2026, nilifika NSSF Ilala Boma kufuatilia suala hilo, lakini nikaelezwa kuwa kuna tatizo la mtandao na nikaombwa kuendelea kusubiri. Leo, tarehe 17 Agosti 2026, nimekwenda tena kufuatilia, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…