Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana...
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Leo ni Alhamisi ya tarehe 01.01.2026
Ni siku ya kwanza ya mwaka mpya 2026.
Tuma salamu kwa members wawili wa JamiiForums uwatakie heri na fanaka za mwaka mpya 2026..
Wanabodi
Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx
Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha!
Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker zinakita, basi najiona kama mimi ndio dullyboy.
Location: DSM
Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo:
Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu.
Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
Elimu ya hela inahitajika sana nchini.
Mtu anakaa tu nyumbani anaona hana Hela anaamua kuanza kuwatapeli watz kisa yy ni kiongozi wa chadema basi anaona chadema ni shamba lake kwamba yy na familia yake wataishi kwa donation bila kufanya KAZI, hebu oneni aibu.
Nchi hii inawahitaji wengi sana...
Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini.
Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI
TANGAZO LA AJIRA
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa.
Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo...
Habari wana Jamiiforums, Karibuni kusikiliza EP yangu mpya niliyotengeneza Kwa AI inaitwa Street codes, Ngoma Karibu zote ni melodic rap
Track 1: Hustle everyday
Track 2: life is simple
Track 3: Nipe kazi bro
Track 4: kitaa kinaongea
Track 5 : Sibanaba
Track 6 : Usiwe mzembe
Wanabodi,
Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele.
Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.