mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunakataaa kuwajibishana kwa maslahi ya nani? Kwanini mpaka leo Viongozi wa Vyombo vya ulinzi wa Usalama wako ofisini?

    Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
  2. JamiiForums Tanzania Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watu 178 tuliitwa kuripoti kazini VETA Dodoma, Februari 14, 2026, mpaka sasa hatujapangiwa vituo

    Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Februari 2026. Tulifika Ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine… lakini hadi leo tunaingia mwezi wa tatu tunasubiri taarifa za kupangiwa vituo vya kazi na hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania Vita vyetu na Iran havijaisha mpaka Uraniumu iondoshwe-Benjamin Netanyahu

    Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’ Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika milki ya Iran ambayo “lazima iondolewe” nchini, na “kazi pana ya kufanywa” dhidi ya uwezo wake wa...
  5. JamiiForums Tanzania Usijenge nyumba kwenye mpaka ni kosa kisheria

    MAANA YA SETBACK KWA LUGHA RAHISI Setback ni nafasi ya wazi ambayo lazima uache bila kujenga kati ya nyumba yako na mpaka wa kiwanja chako. Mfano rahisi kama hauna elimu ya ujenzi: Fikiria kiwanja chako ni karatasi. Halmashauri inakuchorea mstari ndani ya karatasi hiyo. Inakuambia: "Jenga...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtoto anazaliwa anajua kunyonya kunya nk ila hamjui mungu mpaka afundishwe?

    Mpaka akue afundishwe ndipo amjue why? Si kaumbwa na Huyo mungu shida ni nini? Mpaka afundishwe uwepo wake
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mirathi yetu inacheleweshwa kulipwa bila sababu za msingi na Kitengo cha Malipo ya Mirathi

    Hivi, Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya? Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  9. JamiiForums Tanzania Kama Yale maandamano ya mapinduzi yangefanikiwa kufika jioni(Giza) nchi ingechafuka mpaka sasa kungekuwa na mapigano/vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano. 2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
  10. JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Matokeo Ubaoni Vita ya Iran Vs Israel

    Kwa hali ya sasa ya vita kati ya Iran na Israel (na pia kuhusisha Marekani), ukweli ni huu: 1. Iran ndiyo imeathirika zaidi (kwa kiwango kikubwa) Vifo na majeruhi ni wengi zaidi Iran Miundombinu muhimu (kama mafuta, gesi, na kijeshi) imeharibiwa vibaya Uchumi umeanguka: Sarafu kushuka Ajira...
  14. JamiiForums Tanzania Ahadi ya Iran haijaweza timizwa mpaka sasa. Nini kinawachelewesha?

    Iran hoiiiiiiiii..... Ritz alikuwa anakuja na vinyuzi vyake uchwara... Mara imepandisha bendeera nyekundu, mara imesema itaifuta Israel. Israel bado ipo mpaka leo na inaendelea kusambaza kichapo kwa magaidi wa Kipalestina. Iran haijatimiza ahadi yake... Imejichokea kiasi Rais anaomba wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  16. JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  18. JamiiForums Tanzania Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili. AY...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
  20. JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO DAWASA hawafungui maji Kimara mpaka tuwapost JF?

    Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea? Pia soma ~ DAWASSA: Kimara Stop Over wameanza kupata maji baada ya maboresho ya miundombinu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…