mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

    Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu. Yaani wale jamaa wakunilisha mimi pop corn tsh 8,000? Pamoja na mademu 4 jumla 40,000 pop corn...
  2. Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
  3. Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  4. Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  5. bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
  6. F

    Wachawi usiwakimbie, pigana nao mpaka wakukimbie

    Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa silaha za...
  7. F

    Wachawi usiwakimbie, pigana nao mpaka wakukimbie

    Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa...
  8. Kwanini Membe alazimishwe kumsamehe Musiba wakati maaskofu hao walikaa kimya Musiba alipomtukana Membe?

    Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia. Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na hata hao maaskofu walikaa kimya. Mzee Membe na familia yake na marafiki zako walikubali aibu ya...
  9. Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
  10. S

    Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  11. R

    Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  12. Sikujua tumefikia mpaka kazi ya Uchawa unatakiwa Kutuma maombi ya barua na CV.

    Kwema Waungwana! Leo nilikuwa kwenye interview kama mnavyojua kijana ni taifa la leo, na kijana ni nguvu kazi ya nchi. Nami nikasema nisibweteke mwishowe nisijeitwa majina mabaya. Acha nitafute kazi hata zile nilizoona hazihitaji Vyeti. Maana hizo za Vyeti kiukweli Ngoma ngumu, nimeomba mpaka...
  13. R

    Kama Mwalimu anaweza safiri mpaka mkoa mwingine kwenda kuipigia kura CCM, tutegemee nini kwa wananchi wengine?

    Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
  14. Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  15. Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  16. Simba inatisha nyie, baadhi ya makampuni ya kubeti yanahofia kuiweka mechi yake mpaka sasa

    Simba mkubwa Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia Tena mpaka mechi za mwezi August zipo Why not ya Mnyama!? Mnakhofia nini!? Wydad kawapenyezea Fungu nini!? Nevertheless: Wydad 1-2 Simba NB:Ushabiki...
  17. M

    Musiba mpaka Sasa hajaomba msamaha, Membe Shikilia hapohapo

    Kwa mara nyingine tena, Dhalimu baada ya kutenda udhalimu wake badala ya kuukabili uovu wake na kutake responsibility yeye anakimbilia kwa maaskofu ili wamsaidie kubeba udhalimu wake. Iko hivi, Hakuna anayepaswa kubeba uovu wa Mwingine. Hata Kanisani mtu anapoungama, hakuna anayeungama kwa...
  18. Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  19. Mayele anafunga mpaka Eid 😄

    Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! 😄😄😄.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k...
  20. Orodha ya full funded scholarship zilizofunguliwa mpaka sasa

    DAAD Masters Scholarship 2023 for African Students (Fully-funded) | Study-In-Germany ✅ “Leadership for Africa” Programme for Chad, DR Congo, Niger, Nigeria, and Togo: Master’s Degree Scholarships in Germany - DAAD - Deutscher Akademischer Austauschdienst University of Dundee Global Citizenship...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…