mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  2. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

    Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo. League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka...
  5. JamiiForums Tanzania Olivier Giroud sio kufunga tu mpaka kwenye kudaja yumo

    Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
  6. JamiiForums Tanzania Njombe: Tisa wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imewahukumu kunyongwa hadi kufa Washtakiwa tisa akiwemo Beatus Salum aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kipengere Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe kwa makosa ya mauaji ya Ndugu wawili mwaka 2020 Kijijini hapo. Hukumu hiyo ya kesi ya mauaji namba...
  7. JamiiForums Tanzania Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hukipendi/ unakiogopa mpaka leo?

    Nimefanikiwa kua na urafiki na paka, mbwa, kuku, ngombe, mbuzi. Urafiki in a way kwamba akikuona anakufata anataka awe karibu yako. ila Binafsi nyoka ni kiumbe ninaemchukia kuliko wote, hata niende Zoo niambiwe huyu hana sumu, Kwanza ila ngozi yake siipendi kabisa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hatutolala hatutochoka kukuita mpaka utakapo jibu

    Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
  12. JamiiForums Tanzania Wakristo tuungane kupaza sauti tuwe na sheria ya kukataza ndoa kuvunjika nje ya kifo ama usaliti, kuoa mara ya pili adhabu iwe kifungo cha maisha

    NI MPAKA KIFO AMA USALITI PEKEE, NJE YA HAPO NI TAMAA NA MOYO DHAIFU Ni wakati sasa wakristo tuwe kama nchi ya ufilipino tuzikataze mahakama na makanisa ya mchongo kuvunja ndoa nje ya sababu hizo mbili, kwa wale wataokamatwa wameoa au kuolewa mara ya pili kwa njia za panya wafungwe jela maisha...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  15. JamiiForums Tanzania Yupi G.O.A.T wa upinzani mpaka sasa, na kwanini?

    Wakuu napenda kujulishwa ni mgombea yupi kutoka vyama vya upinzani aliyewahi kuichachafya CCM vibaya sana katika chaguzi kuu zilizopita tangu mfumo wa vyama vingi ulipoasisiwa 1st July,1992 kati ya wafuatao: 1: Augustine Mrema 2. Dkt. Wilbroad Slaa 3. Zitto Kabwe 4. Edward Lowassa 5. Seif...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  17. K

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya Daraja la Kigongo Feri mpaka Busisi kulikoni?

    Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi. Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kuanisha hasara kwa magari ya Bagamoyo kuingia Tegeta? Huu mgomo mpaka lini?

    Serikali na ama mamlaka husika, inapokosa mwelekeo thabiti na kutoa maelekezo kwa muda sahihi na mwafaka! Inasababisha tafrani na hasira kwa wananchi Kutokea Juzi 17 September mpaka hii leo, hakuna mwafaka juu ya mgomo wa daladala za Bagamoyo to Dar! Maana yake nini? Je, Serikali imebaini...
  19. JamiiForums Tanzania Kama huyu mzee anapata mashaka na CCM, mimi na wewe ni nani mpaka tuwaelewe?

    Habari JF, katika pita pita zangu nimekutana na hii clip, mzee anaongea kwa uchungu katika mkusanyiko wa kijiji. Kaenda mbali mpaka kuuliza kwamba Tanzania hii wanaojua kusoma na kuandika ni CCM peke yao tu. Kama anavyoongea ni kweli, sisi ni nani tusiwe na mashaka na hiki Chama?
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

    Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao. Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…