mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

    Life linamambo mengi. Huyu Afande Muroto alikuwa RPC wa Dodoma at Magu time now karudi kuwa Project Security Manager- Tembo Nickel.💪🏼
  4. JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huku ni kudhalilisha elimu ya degree. Yaani kuwa mhudumu wa basi napo mpaka degree. Wamiliki wa mabasi acheni dharau

  6. JamiiForums Tanzania Israel yagoma kusitisha vita, yaingia Gaza ndani, mpaka sasa Wapalestina 8,306 wamekufa

    Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita.... The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

    Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Erdogan wa Uturuki aiambia Israel sitisha vita. El Sisi wa Misri aiambia ifungue mpaka

    Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi. Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa zaidi ya Wapalestina 6,500 wameuawa huko Gaza na Waisrael zaidi ya 1400

    week kadhaa zilizopita tulikuwa tunashangalia humu kuwa wameuawa waisreli wengi sana huko Israel .mimi nilisikitishwa na sherehe hizo ni kasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. tusubiri Waisrael wata double. sababu wao wanaamini Muisrael mmoja ni sawa na wapalestine 5. sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana. Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao. Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

    Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania. Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda? Hivi CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  13. JamiiForums Tanzania Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

    Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja. Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
  14. JamiiForums Tanzania Mwakarobo Hali yao ni mbaya mpaka Sasa, sababu hizi kuwaacha uchi kesho

    Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya wanaulinda wakati tiyali uwanja una walinzi wake!!! Kitendo Cha kuifanyia marekebisho pitch ya uwanja...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa watu zaidi ya milioni wameondoka Gaza. Je, palikua na huu ulazima?

    Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka kwenye baridi na mahangaiko mengine, kwa kifupi HAMAS na mashetani mnaowaabudu kisa dini mkae...
  16. JamiiForums Tanzania Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

    Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari. https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
  17. N

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

    Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  19. JamiiForums Tanzania Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  20. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…