mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  2. JamiiForums Tanzania Usiku unaokumbukwa na Wamarekani Weusi mpaka leo

    Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza. Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Mombasa kupitia mpaka wa Sirari

    Naombeni mwongozo wakuu! Safari ni wiki ijayo. Kwa Sasa nipo Mwanza. Nitavukia mpaka wa Sirari. Naomba kufahamishwa kuhusu yafuatayo: 1. Ni muda gani mzuri kusafiri kutoka Sirari kwenda Mombasa kati ya Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku? 2. Kuna usafiri wa moja kwa moja kutokea Sirari hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni mpaka leo mshahara wa novemba haujaingia?

    Tuliopo TRA mpaka sasa mshahara haujaingia? Kuna tatizo gani huko Hazina
  5. JamiiForums Tanzania Kanuni ya ulimwenguni inasema lazimisha mpaka upenye, kanuni ya Kimungu inasema jambo likikataa liache

    Hello habari! Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno. ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia. Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake. Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za...
  6. JamiiForums Tanzania Wayahudi wamempiga sana Mwarabu mpaka Hamas wametema Bungo

    Myahudi Anakupiga wewe utawatoa ulikowaweka. Mbona ni rahisi. Umewahi mwibia mtu kitu halafu akawa anakutandika tu we mwenyewe unamwambia nlificha kwenye ...? Ndo alichofanya myahudi kwa kamas. Utatoa hutoi? Sitoi... Kuuuh.... Utatoa hutoi.... Sitoi... Kuuuh. Utatoa hutoi. Natoa... Haya.... Kaa...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA mpaka sasa sielewi mipango yao uchaguzi mkuu ujao

    Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
  8. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

    MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi. Katika umri huo wakati wengine wakicheza Kibabababa na kimamamama mimi nilikuwa katika kusoma vitabu...
  9. JamiiForums Tanzania Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
  10. JamiiForums Tanzania Nilitoa mahari mwaka jana mwezi Desemba. Lakini mpaka leo sijafuata jiko langu

    Ndo hivyo wakurugenzi. Mwaka jana nilikuwa na nia kabisa ya kitaka kuoa kutokana na upole, unyenyekevu, heshima na adabu aliyokuwa nayo huyo binti licha ya uzuri na rangi yake Mahari yenyewe haikuwa kubwa kiasi hicho, ni 300k tu. Niliitoa kiutani utani nikisindikizwa na ndugu pamoja na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada mpaka Kimbiji kupigwa lami

    Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo akiwa Kigamboni ambapo amesema hatua hiyo ni...
  14. JamiiForums Tanzania WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi

    WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi.. package ni kubwa kwakweli.. sema kwa upande wetu mimi na mwanagu tuna enjoy kinoma kwa sababu uwezo wetu ni hiyo teni.. sema kama ya Dar sidhani kama nitakosa ... Sema msipandishe bei bongo.. uzi imeisha
  15. JamiiForums Tanzania Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

    Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza. Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo...
  16. JamiiForums Tanzania Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

    Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30. Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea

    Hili dada poa wa.kutoka hapa kitambaa cheupe kwa jina namuhifadhi slim flani yaani ana nyama kidogo na pia ana kishundu balaa kila siku nilikuwa namuambia ipo siku nitakuonesha na pia alikuwa ana dharau balaa kwamba mimi simpi kile kitu inapenda.aisee Basi bwana jana nikarnda pale kitambaa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  19. JamiiForums Tanzania Fadhili Majiha anahitaji mapambano matano 🖐️ tu aweze kumtukana mpaka Diamond Platnumz

    Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA BANTAMWEIGHT ) na kumfanya kuwa bondia namba 7 duniani na namba 1 hapa Tanzania katika uzito wake wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

    Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania. Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania. Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama. Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…