Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha.
Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.
Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.
Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.
Linda heshima yako usikubali kudanganyika .
Umri wako
Heshima yako
Financial status
Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
Pale unapomuomba no mwanamke anayeenda au anayetoka kwa mwanaume ampendaye😀 au yule mwanamke anayemheshimu mtu wake
Anakupotezea mpaka unajisemea mimi ni wakupuuzwa hivi na mwanamke tu kweli 😀
Mwanamke akiwa anaenda au anatoka kwa mwanaume ampendaye ndugu yangu achana naye hatakusikiliza...
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa...
Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu.
Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa kwenye uongozi kwa miaka nenda rudi, bali kuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu wengine kuwa viongozi...
Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ?
Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake.
Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake.
Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui
Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua.
Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie
Ni issue muhimu sana
Nimefanikiwa
Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie.
Lakini. Dk za jioni Kibu Denis anakuja kuipatia simba bao la ushindi. Sikupenda na sikufurahishwa. Ila nikubali...
Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani
Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver).
Sasa Mara Baada ya Kufika, nikakutana na Mteja wangu, Tukaingiza mzigo ndani tukamkabizi mzigo wake.
Akamuita Baby( Mpenzi )...
Wakuu,
Kawe leo kumezidi kupamba moto
Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo.
Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata
Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.