mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bongo noma sana pombe Kali zilizokuwa viroba zinauzwa Mpaka leo

    Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart. Pamoja na...
  2. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Utajuta Mpaka lini?

    Kwa Nini usijisamehe ,Utajuta mpka lini?, Moyo umejaa mafadhahiko kwa kumbu kumbu Mbaya , Forget about the past, let's to focus about future. Fanya hivi ili moyo wako upate Amani Samehe Ikiwa mtu amekukosea msemehe ila usimpe nafasi Katika Maisha Yako, Kinyongo Hakitomfanya ateseke mtesi wako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kisa cha msanii Q Chilla kumzaba kofi Ruge Mutahaba wa CMG Mwanza mpaka kuanguka kwake kimuziki kwa imani za kishirikina.

    Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani. SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII. 1. Alikuwa...
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wachaga mpo! Mmelala mpaka Chama chenu kimeondoka , sasa mtabaki na nini?

    Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa...
  7. Intricate

    JamiiForums Tanzania Tupo na Mama mpaka tushike namba 1 duniani. SAMIA MITANO TENA

  8. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hongera sana majeshi ya Israel kwa kuwabana magaidi wa Hamas mpaka wamekubali kuwaachia mateka wote

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema "Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya. Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

    Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye? Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

    Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi. Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

    Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

    Wakuu Kwanini Mchungaji ameshuka?
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Nkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh elfu 3000 mpaka 5000

    Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

    Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu...
Back
Top Bottom