mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  2. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intanenti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka hapa tulipofika, Tanzania inamuhitaji zaidi Shetani

    Ili kuikomboa hii ardhi, Tanzania tunahitaji roho mbaya kama ya malaika waliochoka. Na ndio sababu hata kanisa kuu limeona bora iwe mbwai. Tunamuhitaji Shetani kuliko Mungu. Haki huinua taifa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya mtangazaji aloyce nyanda na Aron Karugumjuli haijapanda Tanzlii mpaka sasa?

    Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa tanzlii kesi hiyo muhimu ya deformation haijapandishwa. Tunaomba kujua tatizo ni nini Mahakama...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga mtapewa "Ladies Free" mpaka lini?

    Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na ladies free?! Kwa sisi Simba viingilia ni kama inavyoonekana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mshahara wa kima cha chini Sekta binafsi mpaka Tsh 358,322

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni ongezeko la asilimia 33.4. Kima hicho kitaanza kutumika rasmi Januari Mosi mwaka 2026. Ikumbukwe Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Nimekula asubuhi viazi vitamu mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari

    Oya,mko poa? Asubuhi nimekunywa chai ya maziwa na viazi vitamu. Mpaka sasa najamba mashuzi yananuka hatari. Nifanyaje?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Toka kwa muuza mihogo mpaka SGR

    Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo. "Niuzie ya mia tano!" "Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni." Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria. Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo hautafanya mpaka 29 October ipite

    Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo 1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite. 2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono. Karibu mtiririke
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
  16. JamiiForums Tanzania Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Leo bado Kuna kile kizazi mpaka sasa mama yupo, bibi yupo na mama wa bibi pia yupo?

    ..... yani wewe hapo upo mama yako yupo, bibi yako yupo, na pia mama wa bibi yako pia yupo? yani mama mzaa bibi, inafurahisha sana eeh🙂
  18. JamiiForums Tanzania Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…