mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  2. JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka mtegemee mvua ndio shida za maji ziwe solved?

    Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji. Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao. Wizara inapitisha bajeti kubwa ila uwezi kuona inafanyia nini zaidi ya kutegemea mvua. Hivi kama nchi ina vyanzo kila kona...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna nini mahafali ya baadhi ya vyuo kuahirishwa mpaka 2026?

    Wakuu kwema? Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025? Mfano ni kama ifuatavyo; a)chuo cha diplomasia (Centre for Foreign Relations) graduation imesogezwa mbele...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

    Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12. Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day. Aione IGP Jumanne Muliro ===
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
  12. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni Mamluki? Mpaka sasa hajatoa link wala Qr ya channel ya Zello

    October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka. Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join. Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
  13. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mpaka sasa Tundu Lisu asalie mahabusu? Maana ilibidi atoke November 3

    Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  16. JamiiForums Tanzania TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa

    Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa Kwa ile misemo yao waliyo itunga.
  18. JamiiForums Tanzania Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

    Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
  19. JamiiForums Tanzania Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…