moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  2. youngkato

    Kazi moja nzuri ilimletea mteja mwingine… mteja mwingine akamletea mwingine. Hivi ndivyo Laurent alivyokuza biashara yake ya welding

    SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA “Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.” Laurent alikuwa kijana aliyekuwa na ujuzi wa welding na fabrication, lakini kama wafanyabiashara...
  3. L

    Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  4. M

    imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  5. Mawazo255

    Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  6. I

    TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  7. mrxtz2026

    Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  8. Jaji Mfawidhi

    Gari Moja lina kodi zisizozidi kumi na tano tu, msiogope!

    Unapoagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi kwenda Tanzania, unalipa kodi za : 1.Ushuru wa Forodha (Import Duty - 25%), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), . Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT - 18%). Ushuru wa Forodha (Import Duty): Kiwango chake ni 25% ya thamani ya CIF. Hutozwa kulingana...
  9. K

    Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
  10. M

    Kuna clip moja niliiona ya Mzee wa Ufafanuzi na Ukanusho. Nikaishia kucheka sana

    Maake hapo kwanza ncheke 😁😁
  11. Q

    John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  12. A

    KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  13. Crocodiletooth

    Natafakari kwa kina sana,huyu ni mzulu akiwa ametwaa duka moja kwenye ukanda wa maduka!

    Huyu bwana ni moja ya vijana ambao walihamasishwa kufukuza wageni nchini afrika kusini,ili mamlaka zote za kibiashara zilizokuwa zikimilikiwa na wageni waziachie na wazawa ndiyo wawe wamiliki wapya,ukanda wa maduka hapa afrika kusini hufahamika kama "spanza shops" Mzooloo aka chadomo katwaa...
  14. Silent King

    Sifa moja wapo ya kuheshimika ni kutopatikana kila muda

    Kuna kitu kinaitwa "Scarcity Principle" (Kanuni ya Uhaba). Kitu chochote kinachopatikana kirahisi na kila muda, thamani yake huwa inashuka. Ukiwa mtu wa "ndio" kila wakati na unapatikana saa yoyote, watu wanaanza kuchukulia uwepo wako kama jambo la kawaida sana (taken for granted). Kutokuwa...
  15. Alexido jz instagram

    Hivi Tanzania itakuja pata tajiri namba moja mweusi, atakuwa nani?

    Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe. Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi...
  16. funaku

    SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

    Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi. Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  17. Teslarati

    Kwenye pakti zipo 3 kimahesabu, kiutafiti na kimedani. Sasa wewe urogwe utumie moja au mbili zinazobaki mechi itachezewa ugenini

    Kwenye pakti za premium condom zenye brand nzuri na bei ya juu kama rough rider, Kiss na bull huwa ziko condom tatu. Ulishajiuliza kwa nini? Ni lwa sababu ili uichape na achapike hadi kuridhika lazima uende round angalau tatu kwa mechi moja. Sasa wewe jiroge uende chini ya hizo utatafutiwa...
  18. Nyendo

    Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  19. C-C Digital Pro

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin Nalimi Kisandu(CIVILIAN-COIN) kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo na hawaitambui Mahakama.

    Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
  20. Morocco forever

    Uhispania ni moja ya Timu ninayoipenda na kuishabikia+Argentina na Morocco

    1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona.... 2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa.. 3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa...
Back
Top Bottom