moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislam pendaneni kwani ni ndugu na lenu ni moja

    Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana. Nitatoa mfananisho: Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati. Pili, wote wanaamini katika ngano...
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi. Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe? Lakini tunasahau...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  6. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  7. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kaongeza utajiri wake kwa USD 165 billions kwa siku moja tu zaidi ya Bill Gates

    Elon Musk na tajiri namba moja duniani kaongeza utajiri wake kwa USD 165 Billions kwa siku moja tu ambao umeupita utajiri wa Billi Gates ambao ni 103 billions. Sasa hivi utajiri wake Elon Musk ni 1.3 Trillions USD.
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta Urafiki na Magufuli akiwa Hayati ni wanafiki na maadui namba moja!

    Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Toyota Rush. Moja ya gari pendwa sana kwa baadhi ya watu ni kiwemo mimi

    Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya. Sifa kuu za Toyota Rush Injini ya petroli ya 1.5L Ina uwezo wa kubeba abiria 7 Ground clearance kubwa (huisaidia...
  16. kali linux

    JamiiForums Tanzania My CIDP Experience: Hivi ulishaumwa hadi ukaogopa kulala sababu unaweza pitiliza moja kwa moja usiamke?

    PART 1: Hello bosses and roses.... Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu, naomba niandike makala hii labda itawasaidia baadhi ya watu Daah, maisha haya ni fumbo sana. Ni...
  17. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!! Vipi...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tupinge Mapenzi ya jinsia moja kwa vitendo

    Vijana wanakimbilia humo kama sifa vile. Haifai hata kidogo. Utuvwa mwanaume upo wapi?
  19. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

    Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ATCL Yaanza Safari za Moja kwa Moja Dar-Moscow 2026

    HISTORIA INAANDIKWA! Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner. Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi...
Back
Top Bottom