moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  2. Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  3. Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  4. Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  5. Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  6. Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  7. Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  8. M

    Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  9. Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  10. Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  11. Vazi moja la taifa, matamanio yasiyoweza kufikika

    Salamu wana JF Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania. Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya makabila 120 haiwezekani kuea na vazi moja la taifa tena tukabaki kuzingatia tamaduni zetu. Ni vipi...
  12. R

    Mzee Warioba alikuwa na ujasiri wa kumwambia Samia kuwa hapa ulikosea alipokutana naye jana? Fanya moja mbili tatu?

    Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29 1. Katiba mpya 2. Tume huru ya uchaguzi 3...
  13. M

    Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli

    Habari wadau Jana Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweli
  14. Tujikumbushe Tundu Lissu kwenye moja na mbili

    Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo imeng'ang'aniwa na wale wanaharakati bila kuangalia kama itakuwa effectively au vipi wao ni bora...
  15. D

    Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  16. R

    PostGE2025 Kiliba: Moja ya mkakati wa wanaharakati ilikuwa kutugawa kidini

    Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂 ---------------- "Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa tuchukiane kwa sababu ya tofauti ya itikadi zetu za vyama vya siasa." - Amesema Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi...
  17. Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  18. Tukipanga maandamano December 25, watanzania wote tutaanza kuzungumza lugha moja.

    Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea. Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
  19. G

    PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  20. PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…