Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko
Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani?
Jibu No,kura ziliibwa🥴
Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha...
Miaka nenda rudi nimekuwa nikisema kuwa hakuna maana yoyote ile kushiriki katika chaguzi nchi hii.
Hiyo ni kwa sababu chaguzi zote zimekuwa ni maigizo tu.
Nimekuwa nikisema kwamba, kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM...
Ndo hivyo.
Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume.
Haka kakitu hakina athari...
VIWANJA VINAUZWA
Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7
Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7
Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16
Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20
Milion 7
Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8
Karibuni Wadau wa Ujenzi
0775 179905
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.
Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.
NIDA mmetukosea sana Watanzania...
Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini?
CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama...
Wanabodi
Angalizo la uchangiaji
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya mada za kikubwa,na huwa yanapanda humu mida ya usiku mkubwa wakati watoto wameisha lala!
Hakuna jina la mtu yeyote, limetajwa kwenye bandiko hili. Hivyo naomba sana wachangiaji changieni kikubwa, tusilete utoto humu wa kutaja...
Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo.
0759960687.. karibuni
Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu.
Si mpenzi wa CHADEMA.
Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli.
Sasa tunaambiwa:
-mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa
- utangazaji wa kesi sasa ni siri
-ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi
Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini...
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Hamjambo!
Leo sitakuwa na maneno mengi.
Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya;
1. Fundi Nguo!
Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi.
Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi.
2. Saluni ya kiume...
Habari,
Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24.
Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa.
Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka.
Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike.
Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu .
Nimesema TAL aachiliwe haraka...
HII DESIGN INA;
1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY
2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO
SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI
CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA
Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906
Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.