mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  2. M

    Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  3. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  4. B

    Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  5. Dkt. Francis Daudi Mlacha aapishwa kuwa DC Kahama, RC Mhita amkabidhi vitendea kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia...
  6. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  7. N

    Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  8. K

    Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
  9. Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  10. Mwananchi wa Mkwajuni amkumbusha Mbunge Ado Shaibu Ado ahadi ya Waziri Mkuu kuhusu ng’ombe

    Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu. Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
  11. Q

    Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  12. M

    Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  13. Deus Sangu ashiriki Mkutano wa Ahmadiyya, asema “Amani na uvumilivu ni msingi mkuu wa utekelezaji wa Dira ya 2050”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini. Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
  14. Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  15. Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    "Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda. Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
  16. Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  17. Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  18. Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  19. Imam na sheikh wetu mkuu wa kijiji

  20. K

    Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…