mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndagullachrles

    Tumieni bidhaa za ndani ,Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba aziagiza Taasisi za umma

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za umma kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini katika ujenzi, ununuzi wa samani na mahitaji mengine, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukuza viwanda, kulinda ajira na kuongeza mapato ya Taifa. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumatano...
  2. IIT MWASISI OS

    Donald Trump: Watu wa Marekani wakichoshwa nami, nitahamia Israeli na kuwa Waziri Mkuu wao!

    Habari zenu wana-jamvi, Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
  3. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  4. O

    MKURUGENZI MKUU wa amani na umoja ya urasimishaji na uhamasishaji kuwa Kennedy Orinyo Nyamanga ni nani anayeweza kumpa nafasi

    Kama Kennedy Orinyo Nyamanga,ni raia anayependekezwa kuwania fursa ya mwanasheria na mwana jamii anayewania kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,na kuwa na amani ya viongozi wa viongozi wa amani na amani ya umoja wa watanzania,nami na amini wa Tanzania wana amini katika amani ya umoja wa...
  5. Echolima1

    Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yako sawa licha ya tuhuma!!

    Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura. Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
  6. K

    Kuna watu wanauliza swali kwanini wale wapemba waliouliwa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 Wakatholiki hawa kuwaombea ,Hii inaitwaje

    Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
  7. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  8. mcTobby

    James Kanyotu: Mkuu wa idara ya ujasusi wa Kenya aliyeamua kwenda kaburini na Siri za Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi.

    Huyu bwana Kwa miaka 27, alihudumu chini ya marais wawili, na alifanikiwa kuvuka misukosuko ya kisiasa, alijua siri za watu wenye nguvu na akajenga himaya ya kibiashara iliyokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi. Hata hivyo, kwa sehemu kubwa ya kipindi hicho chote , Wakenya wengi hawakujua...
  9. M

    Unamsomesha mwanao international school, madrasa unamnyima?

    Huu ni ujinga mkuu. Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini. Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha. Jitafakari sana. Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa...
  10. Zack Abdul

    Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  11. K

    Inzi kwenye jalala la dhahabu: Majaribio ya chawa mkuu inchi ya ugagagigikoko

    SEHEMU YA KWANZA: VIOO VYA ENZI NA AMNESIA YA KIFALME Ukumbi mkuu wa ikulu ya nchi ya Ugagagigikoko ulijengwa kwa usanifu uliogharimu nusu ya pato la taifa. Kuta zake zote zilikuwa vioo vikubwa vilivyowekwa kwa pembe maalum ili Malkia Huihui aweze kujiona kutoka kila upande bila kulazimika...
  12. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  13. Idugunde

    Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
  14. MamaSamia2025

    Ni muda sasa wa Lema kufukuzwa CHADEMA baada ya Kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kumtaja rasmi kama msaliti

    Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake. Mimi siungi mkono vurugu wala...
  15. Echolima1

    Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

    Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu: 1. Alirejesha mateka wote. 2. Alimwangamiza Nasrallah. 3. Alimwangamiza Yahya Sinwar. 4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh. 5. Alimwangamiza Mohammed Deif. 6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya...
  16. gallow bird

    Mkuu wa majeshi Israel amgomea netanyahu kuishambulia iran

    Mkuu wa majeshi wa Israel, bwana zamir,amemgomea waziri mkuu wa Israel Benjamin netanyahu kuishambulia iran siku moja kabla ya uchaguzi mkuu Israel Bwana zamir alimtaka netanyahu asaini nyaraka rasmi za amri hiyo Ili atekeleze Ili baadae mkono wa Sheria usimkute Netanyahu ana Hali ngumu ya...
  17. Zack Abdul

    waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  18. Sifi Leo

    R.I.P Mwalimu wangu Azaboy, current ukiwa mkuu wa shule Mnazi Mmoja, Joram Nkya

    Pumzika kwa Amani Joram Nkya, ulianzia kazi Azaboy ukawa mwalimu wangu mwema,baadae nikapata taarifa uliamia mnazi mmoja na mpaka umauti unakukuta ulikuwa mwalimu Mkuu. Sidhani kama hapa ukitumia jina lako halali ila najua ulikuwa member kabisa kindaki ndaki. Wasalimie Wanaccm...
  19. H

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  20. H

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya - Waziri Mkuu Nchemba

    Acha tuwekeze kwa wakulima, na tuwekeze pia katika sayansi. Tuwekeze kwa vijana na wanawake. Tuwekeze katika mifumo thabiti ya chakula. Na zaidi ya yote, tuwekeze katika uwezo wa kilimo barani Afrika. Kwa kweli, kabla ya njaa haijatushinda, tuchukue hatua, tuwekeze na tuvumbue pamoja. Tujenge...
Back
Top Bottom