mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu ya “Miaka kumi ya mafanikio kutoka maono hadi utekelezaji - A Decade of Economic Impact: From...
  2. Waufukweni

    Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  3. Pfizer

    TIB Yanadi dira 2050 mkutano wa viwanda wa SADC Durban

    Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza...
  4. Echolima1

    Hatujawahi kuwa na mkutano mzuri kama huu na Trump-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema kwamba mkutano aliofanya na Rais wa Marekani Donald Trump ulikuwa mmoja wa mikutano bora zaidi ambayo wamewahi kuwa nayo
  5. H

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
  6. Roving Journalist

    Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, Agosti 5-6, 2026

    Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 5 – 6 Agosti 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere. Mkutano...
  7. britanicca

    Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+ Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje, Britanicca
  8. Tlaatlaah

    Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akamtembelea Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA taifa kabla ya mkutano wa baraza kuu taifa, September 15

    Duru zinaeleze kua kwasasa mwenyekiti huyo mstaafu ana ratiba ngumu binafsi ya ng'ambo ya nchi, na mara atakapo kua mazingira ya nyumbani, basi ziara hiyo maalumu ya makamu mwenyekiti wa chadema taifa itafanyika kadiri ilivyopangwa. Je, ikiwa atafanya hivyo, unadhani agenda kuu ya makamu...
  9. Tlaatlaah

    Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
  10. T

    Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  11. M

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  12. Tlaatlaah

    Huenda pakatokea mivutano ya kikatiba itakayopelekea fujo na vurugu katika mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026

    Kuna kila dalili na uwezekano mkubwa sana wa kutokea mivutano ya kikatiba na kupelekea timbwili baya sana litakalo vuruga na kuchochea mkutano wa Baraza kuu la chadema taifa kuvunjika bila muafaka ikiwa sintofahamu ya ufujaji wa pesa za chama isipowekwa sawa mapema hasa kwa wenye dukuduku hilo...
  13. Zack Abdul

    Sugu, Lema, Boni Yai Wasusia Mkutano Iringa

    Mwandishi : Kwanini Sugu, Lema na Boni Yai walisusia mkutano wa Makamu Heche Iringa. John Mnyika : Nakiri kweli hawakuja, ila sikuwauliza kwanini hawajaja, japo hilo jambo tumeomba Baraza la Wazee liingilie ili lifanye usuluhishi wa viongozi wetu. 🎤 : Press
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yashiriki Mkutano wa tatu wa PEN-PLUS kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)...
  15. R

    Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  16. Roving Journalist

    Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 50, tarehe 16 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=1DWPVZLDxLk
  17. Roving Journalist

    Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Arobaini na Tisa, Juni 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=gDE5eqI9Fkw
  18. Roving Journalist

    Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha 41, Tarehe 02 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=JWa-85kg0nc
  19. Roving Journalist

    Mkutano wa 48 wa SCTIFI Waanza Jijini Arusha

    Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo umeanza kwa kikao cha ngazi ya Wataalamu kitakachofanyika kuanzia Mei 29...
  20. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville...
Back
Top Bottom