mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa COP31 nchini Uturuki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Roving Journalist

    Balozi CP Kaganda aungana na Wanawake Vyombo vya Ulinzi Mkutano (ICHLR)

    Baadhi ya wanawake waliopo katika vyombo vya ulinzi na usalama wameshiriki Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIC) jijini Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe...
  3. Roving Journalist

    Bunge la 13, Mkutano wa 5, Kikao cha 8 Tarehe 05 Novemba, 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=lp2b2bJzLvU
  4. K

    MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

    Mbunge Mwita waitara ahoji
  5. Roving Journalist

    Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  6. R

    Matapeli hayaishi, kwanini upande ndege usiruke kwa miujiza ukawahi mkutano. Na " majitu" yanalisikiliza tapeli

    "Juzi wakati tupo kwenye Ndege nikaona Ndege Ina tembea taratibu sana ikabidi nimfuate rubani kumuuliza nini shida? Rubani akaniambia shida upepo unatokea Mbele yetu ndo maana unaona Ndege iko taratibu, pale pale nikauambia upepo uelekee tunapo elekea katika jina la yesu Na kweli upepo...
  7. Troll JF

    Nabii Godbless Lema ataahirisha Mkutano wa waandishi wa Habari leo?

    Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
  8. R

    Nukuu za mkutano wa Mangungu

    Hizi ni baadhi ya nukuu za mwenyekiti wa Simba Simba day imegeuka kampuni day. Mlishawahi kumwuliza mo aliposema ameinunua Simba pesa kampa nani? Hata ibaki dakika moja mimi bado mwenyekiti Mtu anatafsiri katiba kama kitabu cha paukwa pakawa Bodi haina kigezo cha kuendelea kuwepo baada ya...
  9. Zack Abdul

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  10. Parabolic

    Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  11. Troll JF

    DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  12. H

    Waziri Kombo na Aweso wakijipanga kabla ya mkutano wa 4 Biennale ya Luanda

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani...
  13. Tlaatlaah

    Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  14. instinct desire

    Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  15. W

    Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Andrea Mathew katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Ichemba, Ulyankulu wilaya ya Kaliua.

    https://www.instagram.com/p/DebIsVnonyy/
  16. Zack Abdul

    KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  17. Zack Abdul

    RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  18. Roving Journalist

    Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  19. Zack Abdul

    Mkutano wa Nairobi (COP12) Washika Kasi Dar

    Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  20. M

    Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
Back
Top Bottom