Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.
Wakuu, maafande wi
Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ...
Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
Mwanza, Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo hatuna umeme. Kuna kaya zaidi ya elfu moja na kila tukiulizia umeme unafika lini, tunaambiwa hapo mpaka mkubwa mmoja ajitokeze na kudai hivi hivi ni ngumu.
Tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua za makusudi tufikishia huduma hii jamii ya muhimu. 2026...
Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu.
Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini...
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge.
1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
mkubwa
mpya
posho
posho za kujikimu
sikonge
upigaji
wilaya
Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉
Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji.
Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili...
Muda mfupi ujao Misri itacheza na Ubelgij. Japo Ubelgij ndio favourite lakini kwa upande wangu niko pamoja na Misri the Pharaoh na hakika watashinda nakutupaisha wa Africa jins Morocco ilivyotupaisha dhidi ya Brazil.
Kila la kheri Al-Masr.
adriz de mbusii
Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii.
Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita.
Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa.
Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
Wakuu habarini za uzima.
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.
Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani.
HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema.
Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu
Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.
Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi
◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40.
◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati.
◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika