mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Candela

    Kama ulisoma Biology na unaamini kitimoto ni haramu kwa sababu hacheui, nenda kadai ada yako tu kilaza mkubwa wewe

    Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna. Maana yake alikula majani mapema lakini hakuyameza moja lwa moja akayahifadhi katika tumbo la akiba kisha BADAE ANARUDISHA MDOMONI ANATAFUNA...
  2. Gunner11

    Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

    Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
  3. K

    Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

    Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
  4. Expensive life

    Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  5. S

    Watu Wenye Ushawishi mkubwa katika Historia

    Nimetoa Facebook kama ilivyo, je nilikuwa nauliza 21 Isaac Newton na 93 Nikola Tesla walivumbua vitu Gani
  6. Jannatul Firdaus

    Tottenham wasajili kwa kishindo

    Tottenham Hotspur wameingia kwenye msimu wa 2026/27 kwa kufanya usajili mkubwa, huku klabu hiyo ikiendelea kujenga upya kikosi chini ya kocha Roberto De Zerbi. Spurs tayari wameongeza nyota kadhaa, akiwemo Sandro Tonali, Mateus Fernandes na Jan Paul van Hecke, huku pia wakiwa kwenye harakati za...
  7. Waufukweni

    Richard Kasesela: CCM ina mvuto mkubwa sana kwa Vijana na wana matumaini nacho

  8. and 998 others

    Wenyeviti 17 wa Vyama vilivyoshiriki Uchaguzi watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wenyeviti 17 walioshiriki uchaguzi mkuu 2025 waendelee kutunzwa kwa wivu mkubwa maana hao ni tunu ya Amani na utulivu nchini
  9. G

    UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  10. M

    Ujambazi mkubwa umefanyika jana Katoro. Maduka ya M-pesa yameporwa pesa. Milio ya bunduki ilirindima watu wakajifungia uvunguni

    Inasemekana Majambazi yakiwa na bunduki yamevamia maduka ya fedha maarufu kama M pesa na kupora mamilioni ya fedha. Tukio hili limetokea Katoro hapo jana siku ya tar 10 majira ya saa mbili usiku. My take; Majambazi yanapalia timing Katoro sababu ya watu wa katoro kujionyesha kuwa wana hela na...
  11. instinct desire

    Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  12. M

    Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  13. The Dictator

    Victor Lustig: Tapeli mkubwa aliyeitikisa Paris kwa kuuza mnara wa (Eiffel) mara mbili kama chuma chakavu

    Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili. Mwaka 1925, Lustig alijifanya kuwa afisa wa serikali ya Ufaransa na kuwaambia wafanyabiashara wa chuma chakavu...
  14. Soul21

    Kagame alinda vijana wa Rwanda kwa wivu mkubwa

    Hayawi hayawi yametimia. Baada ya hotuba ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwa vijana wake akiwataadharisha juu ya athari ya pombe na hatima ya maisha yao leo naona habari yenye mvuto juu ya kupipgwa maarufu pombe kali kutoka Tanzania. Hapa Tanzania tunataka tupate maendeleo ya haraka mno, I...
  15. O

    MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  16. A

    KERO Daladala za Morocco–Bunju hazipakii abiria asubuhi, zinaenda kuwachukua wa njiani, tunapata Usumbufu Mkubwa

    Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju. Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za asubuhi ambapo daladala hizo zinapofika Bunju Sokoni, baadhi ya madereva na makonda huchukua risiti...
  17. A

    KERO Wafanyakazi Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited - Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, hatuna mikataba, bima wala likizo

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6. Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
  18. L

    Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  19. Yoda

    Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  20. M

    KERO Wakazi wa mtaa wa Magaka tunalalamikia changamoto za ukubwa wa eneo na upatikanaji wa huduma

    Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja. Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
Back
Top Bottom