mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  2. Nyendo

    Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  3. Q

    Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

    Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki...
  4. Crocodiletooth

    Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

    Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
  5. BLACK MOVEMENT

    Kuna unyakuaji mkubwa sana wa Aridhi unakuja ambao haujawahi shuhudiwa tangu vizazi na vizazi. Viji

    Mwaka jana nilisema baada ya Uchaguzi kuisha kutajuwa na zoezi kubwa sana la kunyakua Aridhi na kukabidhi Wazungu na Waarabu. Sana Waarabu. Wilaya kama Longido inaweza poteza robo hadi nusu ya Aridhi yake kwa Waarabu, Hawa wanataka wainganishe na Loliondo. Simanjiro inapunguzwa sana na kupewa...
  6. M

    Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  7. F

    Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  8. Burn the bridge _Tz

    Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  9. Papillon 1906

    WATU WENYE UCHU MKUBWA WA NGONO MNAPAMBANA VIPI NA HALI HIYO

    Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako. Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono (sex toys).
  10. Best home tutor

    Amani ndio msingi mkuu wa Taifa,tuilinde amani kwa wivu mkubwa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na badala yake kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa. Akizungumza Jumapili...
  11. Labani og

    Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  12. A

    KERO Wananchi wa Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo mkoani Mwanza tunaambiwa tusubiri 'MKUBWA' mmoja aingilie kati ndo tupate umeme

    Mwanza, Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo hatuna umeme. Kuna kaya zaidi ya elfu moja na kila tukiulizia umeme unafika lini, tunaambiwa hapo mpaka mkubwa mmoja ajitokeze na kudai hivi hivi ni ngumu. Tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua za makusudi tufikishia huduma hii jamii ya muhimu. 2026...
  13. Mshobaa

    Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  14. K

    Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa

    Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini...
  15. A

    DOKEZO Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya Halmashauri ya wilaya ya Sikonge

    Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge. 1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
  16. min -me

    Natabiri

    Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉 Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
  17. M

    Kesho nimepata mwaliko wa ki VVIP kuhusu uwekezaji Tanzania

    Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji. Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili...
  18. loose Nut

    Kila heri Misri nawatakia ushindi mkubwa

    Muda mfupi ujao Misri itacheza na Ubelgij. Japo Ubelgij ndio favourite lakini kwa upande wangu niko pamoja na Misri the Pharaoh na hakika watashinda nakutupaisha wa Africa jins Morocco ilivyotupaisha dhidi ya Brazil. Kila la kheri Al-Masr. adriz de mbusii
  19. Parabolic

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
Back
Top Bottom