mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Ile video kuwa wairan 1.2m waliandamana kuunga mkono serikali ni AI, uthibitisho huu hapa

    👇 Ritz you are a fraud Soma Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
  2. Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao

    Wanaukumbi. ⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya maelfu. Kama kawaida, vyombo vya habari vya Magharibi havitakuonyesha hizi video kwa sababu...
  3. I

    Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  4. Nitaandamana 'milele' kuipinga TEC na kuunga mkono mashehe

    Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi. Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi. Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna...
  5. Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  6. Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  7. Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  8. Ni kweli UN ilikataa kumuunga mkono Lumumba

    Mapinduzi dhidi ya Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo huru, Patrice Lumumba, mwaka 1960, yamebaki kuwa moja ya sura za giza katika historia ya Afrika. Ingawa Lumumba alikuwa kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia, Umoja wa Mataifa (UN) uliamua kumtambua Rais Joseph Kasavubu baada ya kumvua madaraka...
  9. Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

    Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo. Ama sikukuu yoyote ile ya kidini. Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji. Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
  10. R

    PostGE2025 CHADEMA: Tunaunga mkono Gen Z na Makundi yote yanayodai haki, Tunawapa pole watanzania wote

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya watanzania , vijana wa Tanzania Gen Z, viongozi wa dini, wanaharakati na makundi yote ya kijamii kuwa...
  11. K

    Mnajidanganya: Kutokuandamana sio kuunga mkono!! TATIZO LIKO PALEPALE

    Mnajidanganya: Kutokuandamana sio kuunga mkono!! TATIZO LIKO PALEPALE. kuzuia watu haina maana watu wanaunga mkono hivyo tatizo liko palepale na inawezekana linakuwa zaidi chinichini. Watoto watakuwa vijana tena kwa kasi ya Tanzania mika mitatu tu kuna watoto wengi wanaingia miaka 18 hawa...
  12. Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha

    Siwachukii Gen Z, sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono ni kwasababu harakati zao zina viashiria vya kupoteza maisha Napenda vijana waishi na sio wafe Na hii ndiyo sababu ya kutokutaka kuwaunga mkono Nikiwaunga mkono nitakuwa nimewatuma shimoni jambo ambalo litaniingiza kwenye kesi ya mauwaji...
  13. Nawatakia kila la heri mtakaoandamana kesho, sitaandamana ila nawaunga mkono mtakaokwenda kuandama dua nyingi kwenu

    Kila la heri mtakaokwenda kuandamana kesho, binafsi sitaandamana ila dua zangu kwa wote mtakaoandamana ,mtoke salama na mrejee kwenye familia zenu salama. Kiuhalisia naona ni ngumu kufanikisha jambo kama wanajeshi hawatakuwa upande wa waandamanaji. Wanajeshi ndio wameshika dhamana kufanikiwa...
  14. D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

    GTs, Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa. Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali...
  15. Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  16. Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  17. PostGE2025 Uchambuzi: Je, MaSheikh wapo sawa kutounga mkono maandamano kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na tujadiliane wote kistaarabu kutokana na uelewa wangu wa kidini na kiulimwengu kutoka na hoja hizo...
  18. Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  19. L

    Mimi ni Mkristu lakini Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam

    Tumsifu Yesu Kristu, Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam. Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige. Toka nikiwa mtoto...
  20. R

    PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…