mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

    Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao. Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
  2. GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  3. Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  4. Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  5. N

    Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

    Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!. Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi...
  6. J

    GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  7. T

    Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

    Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden...
  8. M

    GE2020 Bernard Membe amuunge mkono Tundu Lissu

    Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi. Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini...
  9. Kila Jimbo la "Muunga mkono juhudi" limebana. Asanteni sana magwiji wa CCM mlioamua kurudi

    Yaani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam. Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa...
  10. S

    GE2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

    Hii ni kutokana na tweet ya Mdau mmoja huko twitter, huku Zitto akii-retweet twitter hiyo. Tweet husika ni hii: "Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa...
  11. J

    Politics is a game of dynamics, Urais, Ubunge, Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu, Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu

    Wanasiasa hasa Wa Upinzani naomba mpitie huu Uzi kwa makini sana, MADA :"Politics is a game of dynamics,Urais,Ubunge,Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu,Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu" Jana nimefuatalia kwa kina Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM uliofabyika Jijini...
  12. GE2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  13. Mwita Waitara, pamoja na kuunga mkono juhudi barabara jimboni kwako ni mahandaki matupu

    Wakuu heshima ziwe kwenu. Huyu mwamba alikuwa mbunge wa upinzani . Aliyechaguliwa na kuaminiwa na watu wa jimboni mwake wakiwemo wale wa kanda maalumu ambao ni wengi jimboni humo. Alichaguliwa kwa sababu watu waliamini kwenye mabadiliko ya kweli sio ya ki propaganda. Wapo walioumizwa...
  14. J

    Uchumi wa dunia utashuka kwa 5% katika miaka miwili ijayo, Wapinzani tumuunge mkono Rais Magufuli atuvushe!

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%. Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla. Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
  15. GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  16. J

    Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

    Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea. Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea. Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga...
  17. J

    GE2020 Ni wazi Tundu Lissu atajitoa na kumuunga mkono Nyalandu mchungaji Msigwa atarejea kwa Kasesela kutetea Ubunge

    Siasa ni sayansi. Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu. Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina. Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati...
  18. S

    Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  19. T

    Vyama vyote tumuunge mkono Rais Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania

    Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao. Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo...
  20. Warusi wengi waunga Mkono mabadiliko ya katiba

    Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Warusi wengi zaidi wameunga mkono mpango wake wa mabadiliko ya katiba ili kumpa mwanya wa kubakia madarakani, Putin amesema Raia wengi nchini humo wamekubali mpango huo ambao utamwezesha Putin kusalia kwenye kiti cha Urais
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…