mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Vitabu vitakatifu vimekataza kuabudu miungu. Je, kuanzisha uchifu siyo kupingana na maagizo ya Mungu? Wanasiasa mnamkufuru Mungu

    Nchi imekuwa ngumu kutawalika, tunawatafuta machifu Kwa lengo lakuwatumia Kwenye Siasa 2025. Hii inatokana na ukweli kwamba wale wanaoitwa machifu siyo viongozi wa kimila Bali ni wazee wastaafu wenye kadi ya Chama cha Mapinduzi. It's like Jumuiya ya wazazi imeshindwa kuaminika nakufanya kazi...
  2. Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
  3. C

    Naunga Mkono Betting, Kampuni za Kamali, Endeleeni Kuja kwa Wingi Tanzania!

    Taifa kama taifa ni LAZIMA litafute namna ya kuchukua pesa za wanaobet ili kuziingiza kwenye mfumo unaoleweka wa kiuchumi!!! Tukitumia mfano wa mtu anayefahamika na wengi kwa mfano, Diamond Platnumz, hivi karibuni amezindua kampuni ya betting... yaani kampuni ya watu kucheza kamali! Kwa hili...
  4. B

    Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

    Ndugai kama binadamu alitoa mawazo yake kwa mtazamo wake. Hata hivyo bila shaka nje ya alichokiamini, kwa nia njema alilazimika kuomba msamaha. Pamoja na kuomba msamaha kwa nia ya kuwaridhisha wakubwa kinyume cha utaratibu kumbe vita ndiyo bado asubuhi. Alitoa mawazo yake pia Polepole kwa...
  5. Natangaza kumuunga mkono Ndugai. Ametimiza wajibu wake

    Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo. 1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo. 2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce...
  6. B

    Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

    Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola: Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao: Vita hivi...
  7. K

    Mwaka huu hakukua na mkono wa chrismass wala salamu za chrismass: Tamaduni zimekiukwa?

    Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje 1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass 2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass 3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo...
  8. J

    Bashe: Serikali kuunga mkono sekta binafsi katika uzalishaji wa mbolea nchini

    BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma. Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
  9. Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

    Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla Huyo ni Mmareakani. Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps. Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa. Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja. Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
  10. Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
  11. Watz mkimzingua Zuchu na hizo kauli zenu za "Nipe mkono kama unabisha" tutaonana wabaya, huyu mtoto anapendwa sana +254

    Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe mkono"
  12. G

    Dr. Rafaeli Chegeni: Naunga mkono hoja kwamba Polepole ni kiroboto

    Yuko live StarTV ktk kipindi cha The Big Agenda muda huu. Amesema "Polepole ni kigeugeu hivyo asiaminiwe. Na ninaunga mkono kwamba Polepole ni kiroboto".
  13. B

    Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  14. B

    Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

    Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua. Hawa wazee wana roho za kikatili na...
  15. Huko nyuma CCM ilikuwa mali ya wakulima na wafanyakazi, leo kimegeuka kuwa mali ya wanaCCM wanaounga mkono ufisadi na kuwona Watanzania mabwege

    Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi. Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa...
  16. Naunga mkono Serikali kutaka Watoto wapumzike wakati wa likizo lakini....

    Mimi ni miongozi wa Wazazi nisiyefurahishwa kabisa na namna tunavyowachosha Watoto wetu kwa ratiba ngumu wakati mwingine kuliko hata tulizonazo sisi Watu wazima. Kuhusu likizo nadhani twaweza kuja na namna nyingine ya kwenda na Watoto wetu hawa bila kuendelea kuwaumiza...maana pia kama lengo...
  17. Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

    Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie. Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
  18. Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

    Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango. Fikiria pia kuhusu kipanya katika...
  19. J

    Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo

    WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Mhe. Jokate ametoa rai hiyo leo Disemba 02,2021...
  20. Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

    Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…