mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  2. Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

    Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini. Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea. Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama. Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali...
  3. Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
  4. Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  5. J

    Kuna hatari ya ukabila inaienyemelea nchi, Rais Samia inabidi aongoze kwa mkono wa chuma kuepeusha hili

    Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na kuigawa nchi kwa udini au ukabila, hapo ndipo nasema demokrasia inabidi iwekwe pembeni Kumekuwa na...
  6. Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Habarini za kutwa nyote. Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
  7. L

    Nchi za Afrika zina haki ya kuamua kuunga mkono au kupinga upande wowote kwenye migogoro

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...
  8. Siungi mkono msimamo wa Tanzania, Lakini...

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  9. Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
  10. M

    Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  11. Naendelea kuunga mkono Urusi; Hoja zangu hazijajibiwa

    Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila kugusa hoja za msingi nilizozijenga wakati naweka msimamo wangu kwamba naunga mkono Urusi katika mgogoro...
  12. J

    Serikali ya Awamu ya Sita, inaunga mkono jitihada za kukiendeleza Kiswahili

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
  13. Je, wajua herufi Z inatumika kuunga mkono Urusi kuipiga Ukraine?

    Ikiwa baadhi ya maeneo baadhi ya watu wamekuwa wakiandamana kupinga #Urusi kuweka vikosi vyake na kuishambulia #Ukraine, baadhi ya watu wamebainika kuunga mkono vita hiyo kwa kutumia herufi ‘Z’ Herufi ‘Z’ imeonekana kwenye vifaru na magari ya Urusi huku maana kamili ya herufi hiyo ikiwa...
  14. Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili. Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
  15. Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo yaliyojitenga toka Ukraine. Naomba nianze utangulize wa makala yangu kwakusema, Dunia ili iwe salama...
  16. B

    Mwenyekiti yupo Mahabusu, Makamu Mwenyekiti anaugulia risasi 16, viongozi wakaunga juhudi mkono lakini bado chama kipo imara. MUNGU ana makusudi

    Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa. NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema. ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka...
  17. F

    Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja. Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye...
  18. UEFA Champions League: Man City yaifanyia kitu kibaya Sporting, daaa! Wamechezea mkono 5-0

    Licha ya kuwa uwanja wa ugenini, Manchester City wameichapa Sporting Lisbon mabao 5-0 na hivyo kujiweka kwenye nafasi kubwa ya kusonga mbele hatua inayofuata ya UEFA Champions League.
  19. Wasanii Navy Kenzo wapongezwe na kuungwa mkono kwa kumiliki Football Academy

    MwanaJf hivi unajua kama Emma Mkono aka Nareal na mwenzie Haika wanamiliki Football Academy? Mimi sikujua, mpaka leo nilipokuwa natazama Azam Tv nikaona akihojiwa. Mbali na kufanya vizuri kimziki hawa watu wamewekeza kwenye soka. Wameuza vijana Azam, Kagera nk. Hawa ni watu wa kutazama kwa...
  20. L

    Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…