mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  2. L

    Donald Trump anataka Ibrahim Traole akamatwe,Macron aunga mkono

    Tukisema USA ni taifa la chokochoko,dhulma,wivu na uonevu mnatuambia sisi tuna chuki na Marekani. YouTube · Afro Page 4.7K+ views · 4 days ago US Wants to Arrest Capt. Traoré for Trading Gold for Protection Rais wa USA Donald Trump anataka Rais kijana,mzalendo wa nchi yake,na mwenye uchungu na...
  3. Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  4. Wazee wa no reform no election tusaidieni kutengeneza picha ya serikali yenu ili tujue tunawaunga mkono au vipi

    PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA Rais: Tundu Lissu Makamu wa Rais: John Mnyika Waziri Mkuu: Heche Waziri wa Michezo: Sugu Naibu Waziri wa Michezo: ( ) Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. ) Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( ) Mkurugenzi wa...
  5. Usinyooshe mkono ukiwa hujui wapi Mbingu ilipoanguka

    Nature is always brutal si kwa sababu inachukia, bali kwa kuwa haijifunzi. Maji hayakubali kubebwa, bali hubeba. Mwanga haufuati giza, bali hulivunja. Waliokaa kimya ndani ya kelele wamezoea kutafuna pumzi badala ya mikate. Nguzo za uhai hazisimamishwi na sarafu, bali na kivuli cha dhamira...
  6. Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  7. I

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  8. Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

    wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi...
  9. Nimekubali kuunga mkono maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi ila watoto wa Lissu, Lema, Heche, Slaa na Maria sarungi wawe mstari wa mbele

    Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni warubuni watoto wa wenzao waingie ulemavu halafu wakubali maridhiano kama walivyochuuzwa vijana wa Msumbiji...
  10. Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  11. H

    Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  12. R

    Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  13. Tunaunga mkono CHADEMA katika kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION

    🗣️ NO REFORM, NO ELECTION! 🚨 Hatutaingia kwenye uchaguzi wa 2025 bila mabadiliko ya msingi katika Katiba na mfumo wa uchaguzi! Watanzania wanastahili Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki na usawa kwa vyama vyote. 🔥 Hakuna Mabadiliko? Hakuna Uchaguzi! 🔥 Tuwaunge mkono...
  14. PreGE2025 DJ wa Diamond, RJ the DJ atangaza "Mama Tour" kuzunguka zaidi ya mikoa 10 kumuunga mkono Rais Samia

    Wakuu DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena." Ziara hiyo itapita katika mikoa...
  15. S

    PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  16. Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  17. Utawala wa Trump waanza ukamataji wa wageni waungaji mkono wa Wapalestina nchini Marekani

    Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu. Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
  18. DAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya Wahitaji Kijitonyama

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo. Hatua hii ni...
  19. Trump aifuta wizara ya elimu.Kisa walimu wengi wanakiunga mkono chama cha Democratic.Mfumo anaoutaka ni K-12

    Pamoja na onyo kutoka kwa wafuasi wake wa MAGA,rais Trump ametia saini amri ya kuifutilia mbali wizara ya elimu ya nchi hiyo. Amri hiyo imetajwa itaathiri sana vyuo vya elimu ya juu na vya kitafiti na hivyo kutazidi kudidimiza fikra ya Marekani kuwa taifa kubwa lenye maendeleo makubwa ya...
  20. Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…