mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mke sasa ananishinda, nimepoteza hisia kwake kwa kiwango Kikubwa sana

    Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana. Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu. Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula...
  2. JamiiForums Tanzania Mchumba mwanamke - MKE

    Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
  3. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua Rais anatembea na mke au mume wako?

  4. JamiiForums Tanzania Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtandaoni

    Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu. Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
  6. JamiiForums Tanzania Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  7. JamiiForums Tanzania Mke mkubwa wa Muhammad ndo alisema huyo siyo Jin ni Malaika Jin-bril

    Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin Mfano wa simulizi: Katika Sirah...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

    Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Afande Sele tusipomuwekea speed gavana kwa huyu mke wake mpya, atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli

    Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara. Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
  10. JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  14. JamiiForums Tanzania MKE AMBAYE NI MFANYA KAZI WA BAR.

    HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO. TOA MAONI YAKO.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  17. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Vigezo awe amezaliwa MWAKA 1998, 1999 au2003 Vigezo vya jumla Uwe na mwili wa wastani Mzuri wa sura Wasifu wangu Umri 29 Mfanyabiashara Karibu PM
  19. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mtu nzima mwenye mke na watoto unachanganyikiwa na Mapenzi?

    Hivi hii imekaaje? Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo? Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…