mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae. Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'. Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si...
  2. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  3. JamiiForums Tanzania AI ilivyonifanya nipate mke mwema wa kuoa

    Abarikiwe aliebuni hiyi kitu, wale Wa vizinga tangazo sasa nimempata mkemwema, Nililizwa Sana nikaamin mapenzi ni pesaa Kumbe nilikuwa napata Malaya Malaya nikajua napendwa kumbe zinapendwa pesa Kweli filisika tuone tabia za mpenzi wako Sasa nina aman sipitii tena bar kulewa na kungoja...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uzi wa walemavu wanaotafuta MKE au mme

    Habari wakuu , kwa wake wenzangu na Mimi wenye ulemavu wa aina yoyote iwe hearing problem , bubu ,albino nk Basi karibuni mtafute wenza hapa maana huwa tunajiona wanyonge au kujikatia tamaa hasa kwenye suala la ndoa , mode naomba huu uzi usiunganishwe na zingine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Tundu Lissu azungumza

    Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
  6. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
  7. JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kumtelekeza mke

    Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

    Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni *Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji *Ukiomba game anasema amechoka Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
  11. JamiiForums Tanzania Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

    Kwa wengi wetu mahusiano ya kwanza kuyaona na kuyaishi ni yale ya wazazi wetu. Je, ukipewa mwenza ambaye anafanana kitabia, kiakili, kiuchumi n.k na mzazi wako utafurahi? Kama jibu ni ndiyo, kwanini? Kama jibu ni hapana, ungependa awe tofauti kwa namna gani? Asante na siku njema!
  12. JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
  15. JamiiForums Tanzania MKE ANAHITAJIKA

    Nahitaji mke alie serious kuna mke dini awe Muislam miaka asizid 24 mimi umri wangu ni miaka 29 niko serious Nahitaji mwenza wa maisha 🥀 mwenye Uhitaji na mwenye sifa hizo aje DM.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

    Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi) Matokeo...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Talaka ni kwa tajiri, kwa Masikini Utasikia Mke alikimbia

    Palac anakuambia kwamba, Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini ndo maana talaka ni kwa matajiri maskini utaskia mke alinikimbia.🤣🤣
  19. JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
  20. JamiiForums Tanzania Msomi mwenye shahada ya uamivu achizika kisa kufiwa na mke

    Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo. Haija julikana kama Kuna kitu kipo NYUMA ila tatizo lilianza kutokana na msongo wa mawazo kisa mkewe. Ni msomi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…