mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba. Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi. Umri wowote unaruhusiwa mradi uweserious
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mke wa mtu zawadi ya chupi,kazipokea

    Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi. Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa Nikamwambia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke

    Habari Jina - Brighton Umri - 39 Urefu - 5.5ft Dini - Mkristo Damu - group o Pombe- sinywi Rangi- maji ya kunde Kazi- Nimejiajiri Naishi- Nyanda za juu kusini Maono/ndoto - nikukua kimaisha Sofa za mwanamke naye mtaka. Umri- 35nakuendelea Kabila - lolote Dini - mkristu Kazi - yeyote...
  4. JamiiForums Tanzania Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia

    Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha. Pia soma ~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa ~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100 ~ Ijue...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wa Mjomba ananitaka kimapenzi

    Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
  8. JamiiForums Tanzania Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

  12. JamiiForums Tanzania Muongozo wa jinsi ya kuwa mke mwema

    Uwe tayari kwa sex wamesahau.
  13. JamiiForums Tanzania Yule binti aliyekuwa anataka aje kwetu kuolewa Sasa ninae Kama mke wangu

    Wakuu Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa Baada ya muda kidogo binti akawa ananipigia simu anadai kuwa licha ya wazazi kua hawakuelewana anataka aje kwetu kuolewa no matter what...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

    Wakuu Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
  15. JamiiForums Tanzania Nimerudi nimekuta mke kaondoka na kila kitu

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  17. JamiiForums Tanzania Mke atoa mimba

    Hell Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba...
  18. JamiiForums Tanzania Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

    SEHEMU YA KWANZA:NAREJEA TZ KUTOKEA MASOMONI. Paa,natua Dar kutoka nje ya nchi nilipokuwa nasoma shahada ya kwanza.Nilifikia nyumbani kwa kaka yangu ambae alikuwa mtu mzima sana yaani umri ulikuwa mkubwa sana tu. Yeye na mkewe walinipokea kwa furaha kubwa sana.Akaniuliza kuhusu mipango...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa atokomea kusikojulikana na mali zote za mumewe pamoja na kiasi cha Shilingi milioni tano

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Anatafutwa mke umri 20-32

    Huu ujumbe umetoka kwa ndugu yangu . Sifa zake Umri 35 Kazi Mwalimu wa secondary Kazi anaendesha Biashara pia Ana Kazi mbili Biashara na ameajiriwa government Kama Mwalimu . Elimu degree BAED Kabila muhaya Sifa za mke Umri 20-32 Kama Ana mtoto pia inaruhusiwa Elimu awe amefika form four...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…