mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari Kiambu Awasilishwa Mahakamani Kwa Kifo cha Mke Wake

    KIAMBU: Daktari wa upasuaji katika Hospitali ya Level 5 Kiambu, Dr. Dennis Masoba Nyambane, 36, amezuiliwa kwa siku saba baada ya kufikishwa mahakamani Agosti 10, 2026, akihusishwa na kifo cha mke wake mwenye umri wa miaka 30, Mary Mwende Mutie. Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50, Nina watoto 1, kazi ni mfanyabiashara, dini ni Mkristo. Natafuta mke mwenye miaka 25 mpaka 40. Awe Mkristo. Kama upo serious njoo in box tuyajenge
  4. JamiiForums Tanzania Kisa cha jamaa anaetembea na mke wa fundi kinyozi

    Jamaa mmoja aliingia saluni akakuta Pana watu kama watano na kinyozi wa sita. Akauliza kama kuna foleni kubwa akajibiwa kwamba wanao nyoa ni watatu tu yaani aliyekuwa ananyoa kwa muda ule na wengine wawili waliokuwa wameketi kwenye sofa, hawa wawili wengine walikuwa washkaji zake kinyozi...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa lakini vituko vya mke vikakufanya uingie kwenye tabia hatarishi

    Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume. Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

    According to the laws of attraction, we are what we think. Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously. Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mke au mpenzi wako aende mbio za Marathon peke yake?

    Mke wako au mpenzi wako akikuaga anaenda kukimbia mbio za Marathon utamkubalia aende peke yake au utataka muende wote kukimbia pamoja?
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

    Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa mke wa kuoa

    Ndugu Wana if kama kichwa CA habari kinavyo sema Mimi ni mwanaume miaka 42 mahitaji mke wa kuoa awe mkoa was songwe umri sibagui ukiona unafaa njoo tuyajenge My love kipaumbele tunduma na vwawa
  12. JamiiForums Tanzania Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

    Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

    Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mzimbabwe aua mke na watoto na kutoroka UK

    Polisi wamtaja jamaa anayesakwa kwa mauaji ya mke na binti zake Polisi wametoa picha ya CCTV ya mshukiwa wa mauaji anayeaminika kumuua mkewe na binti zake wawili kabla ya kutoroka Uingereza. Miili ya Nothabo Zandile Tshuma, 42, na binti zake Natalie, 15, na Nala, 5, ilipatikana baada ya polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu Seran.

    At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae. Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'. Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…