mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  2. JamiiForums Tanzania Namuachaje kwa Amani? Nilimtoa kwenye ndoa ili anizalie sasa mke wangu kapata mtoto

    Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka! Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke wangu tulikuwa hatujabarikiwa kupata mtoto. Tulikwenda hospitalini kupima, ikagundulika yeye ndiye...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

    . Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Nimemfumania MKE wangu na mwanaume mwingine, nimemsamehe lakini hataki kurudi! Mimi ni kijana wa miaka 40, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa. Wakati nakutana na huyu mke wangu, wote tulikuwa bado wadogo na ndiyo tumemaliza chuo. Ni mtu ambaye tumekua pamoja, na kila kitu kilikuwa vizuri...
  5. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

    Wakuu, Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia. Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana. Baada kuona sina mambo mengi sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Nikifa mke wangu asiolewe

    Salamu WanaJF! Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa Anatembea na nusu wa moyo wangu, kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa show. Hivyo basi nikifa asiguswe Everything remind of her, anytime anywhere
  7. JamiiForums Tanzania Kuna jambo linaniumiza toka kwa mke wangu, nimwambieje?

    Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi. Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane, Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia usaliti toka kwake japo akiwa kama binadamu anaweza kufanya hata kwa siri ila binafsi sijawahi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake? Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa. Wakati nakutana na huyu Dada alikua ametoka kwenye ndoa yake, mwanaume...
  9. JamiiForums Tanzania Vitendo hivi vya mke wangu ni kawaida

    Bila shaka mko powa wananzengo wenzangu!! Nawapa visa vya kweli vya mke wangu ambavyo siwezi kumpa mtu yeyote isipokua nyie coz hatujuani✍️✍️ Huu ni mwaka wa nane tangu tuanzishe uhusiano na ni mwaka wa sita tangu tuanze kuishi kama mama na baba . Sijawahi kuuona utupu wake (naomba uniamini)...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Habari wakuu poleni na majukumu. Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe. Je, tatizo nini itakuwa?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu

    Msaada Kuna vita vimeibuka kati ya mama yangu mzazi na mke wangu!! Ninafanyaje ndg zangu, ninashindwa kumjadili mamangu kwa kumkosoa mbele ya mke wangu.!! NB: mama anaishi kwake na mimi naishi kwangu na mke wangu
  13. JamiiForums Tanzania Nimepigwa makofi na mke wangu

    Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  15. JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bosi anatembea na Mke wangu

    Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu . Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
  17. JamiiForums Tanzania Nabii Tito: Mimi nimezaliwa nikiwa Hanisi na Mke wangu ni Bikra

    Hivi, huyu jamaa ana agenda gani? Kwanini anaachwa?
  18. JamiiForums Tanzania Huyu dada natumai atakuwa mke wangu peponi

    Tuna dada yetu mmoja, mtoto wa shangazi ambaye ni mkubwa sana kuliko mimi na hata amewahi kunilea udogoni kwangu. Huyu dada kwa kweli alikuwa ni mzuri sana na mwenye mapozi safi sana ya kimaumbile. Ikitokea kishindo mtaani wala hashtuki na kufazaika kiasi cha kupoteza muonekano wake. Akifurahi...
  19. JamiiForums Tanzania Siku niliyomwamini mke wangu

    Habari wana jukwaa. Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu. Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya bustanini majira ya saa moja kasoro jioni, mke wangu alinifuata pale bustanini na kuniambia baba Prosper...
  20. JamiiForums Tanzania Mke wangu hawezi kutunza simu

    Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani. Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu. Nampenda mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…