mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

    Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo: Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  4. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  5. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Mkwaziko: Mama Mkwe kanunua shanga ya mke wangu na yeye mwenyewe mbele yangu

    Wadau hamjambo nyoote? Leo nadhani nimepewa zawadi ya boxing day. Nilitoka na familia yangu mimi na mke wangu na mama mkwe ambaye kaja tu kusalimia nikaona si ubaya tukatoka tukaelekea Luguluni huko. Tukapata sehemu nzuri tukawa tunaongea maisha. Mara akapita Mmasai mkononi kashika zile fimbo...
  6. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  8. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  9. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ana nini huyu Mke wangu?

    Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika. Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye. Mfano, likizo...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

    Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika. Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora. Assalam alyekum kwa Waislam, Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam. Wapagani, salama...
  13. Junior Lecturer

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana. Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ghafla anaanza kuniita "Mkuu"

    Wanabodi hii hivi iko sawa. Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi". Je hio ni sawa au ni red flag?
  15. Fazz

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

    Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake Akawa ananiomba...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  20. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

    Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake. MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
Back
Top Bottom